Bawacha nao watoe tamko lao.Duh kwahiyo Sadifa na Sixtus Mapunda (Mtendaji Mkuu wa Jumuiya) wakae mbali na wanyamaze kabisa katika masuala ya jumuiya?
Nadhani kuna haja ya msemaji wa Jumuiya ya Wanawake naye kujitambulisha na kutoa msimammo wa jumuiya.Jumuiya ya Wazazi nayo kama vile haipo.Kuna haja ya kujitokeza msemaji wa jumuiya hiyo na kutoa msimamo.Haiwezekani jumuiya ya vijana pekee ndio iwe na ujasiri wa kutoa msimamo huku watu wazima wakiwa waoga
Hivi wewe ni chadema chumbani au sebuleniDuh kwahiyo Sadifa na Sixtus Mapunda (Mtendaji Mkuu wa Jumuiya) wakae mbali na wanyamaze kabisa katika masuala ya jumuiya?
Nadhani kuna haja ya msemaji wa Jumuiya ya Wanawake naye kujitambulisha na kutoa msimammo wa jumuiya.Jumuiya ya Wazazi nayo kama vile haipo.Kuna haja ya kujitokeza msemaji wa jumuiya hiyo na kutoa msimamo.Haiwezekani jumuiya ya vijana pekee ndio iwe na ujasiri wa kutoa msimamo huku watu wazima wakiwa waoga
Kama ndiyo demokrasia kwanini wanataka kusuluhishwa? si waache demokrasia ichukue mkondo wake.Hiyo ndio demokrasia paaaana kabisa ndani ya ccm. Ingekuwa chadema mtu angeshakuwa amefukuzwa kwenye chama
Duh kwahiyo Sadifa na Sixtus Mapunda (Mtendaji Mkuu wa Jumuiya) wakae mbali na wanyamaze kabisa katika masuala ya jumuiya?
Nadhani kuna haja ya msemaji wa Jumuiya ya Wanawake naye kujitambulisha na kutoa msimammo wa jumuiya.Jumuiya ya Wazazi nayo kama vile haipo.Kuna haja ya kujitokeza msemaji wa jumuiya hiyo na kutoa msimamo.Haiwezekani jumuiya ya vijana pekee ndio iwe na ujasiri wa kutoa msimamo huku watu wazima wakiwa waoga
KimbungaKuna shida kubwa.
Kuna jambo moja alilisema Mzee Malecela kwamba viongozi wa CCM wako wapi hadi mtoto mdogo aje kuwa ndiye msemaji wa Chama (siyo UVCCM). Hii ni hoja nzito toka kwa Mzee Malecela.
Mimi najua msimamo wa Taasisi yoyote, hasa katika masuala mazto kama hayo, hupatikana kwenye mikutano na hapo hutolewa maazimio na msemaji kusoma hayo maazimio. Lakini yanayotokea sasa wala si maazimio ya mkutano wowote bali kila mtu kujitwisha usemaji wa taasisi ndani ya CCM.
Bado kuna Umoja wa Wanawake na Wazazi. Sijui nao wataibuka na nini.
Kuna haja ya Kamati Kuu kukutana haraka na kutolea tamko la kichama mambo yote yanayoendela kwa sasa. Wanaostahili kuonywa waonywe na kisha kutoa msimamo wa nani ni msemaji wa taasisi za kichama badala ya kila mtu kuibuka na kusema kivyake.
Naamini kabisa kwamba katika ulimwengu wa demokrasia kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake lakini atoe maoni kama yeye na wala si taasisi. Japo na hapo pana ukakasi kwa maana inakuwa vigumu kutenganisha mtu anapoongea kama kiongozi na anapoongea kama yeye.
Kila mtu sasa ni msemaji wa CCM!!
Hiyo ndio demokrasia paaaana kabisa ndani ya ccm. Ingekuwa chadema mtu angeshakuwa amefukuzwa kwenye chama
gazeti linajaribu kuendeleza kile kinachoitwa propaganda za mboye
Bawacha nao watoe tamko lao.
Duh kwahiyo Sadifa na Sixtus Mapunda (Mtendaji Mkuu wa Jumuiya) wakae mbali na wanyamaze kabisa katika masuala ya jumuiya?
Nadhani kuna haja ya msemaji wa Jumuiya ya Wanawake naye kujitambulisha na kutoa msimammo wa jumuiya.Jumuiya ya Wazazi nayo kama vile haipo.Kuna haja ya kujitokeza msemaji wa jumuiya hiyo na kutoa msimamo.Haiwezekani jumuiya ya vijana pekee ndio iwe na ujasiri wa kutoa msimamo huku watu wazima wakiwa waoga
Hiyo ndio demokrasia paaaana kabisa ndani ya ccm. Ingekuwa chadema mtu angeshakuwa amefukuzwa kwenye chama
Hiyo ndio demokrasia paaaana kabisa ndani ya ccm. Ingekuwa chadema mtu angeshakuwa amefukuzwa kwenye chama
Hiyo ndio demokrasia paaaana kabisa ndani ya ccm. Ingekuwa chadema mtu angeshakuwa amefukuzwa kwenye chama
Hivi ukiwa msemaji wa taasisi unatoa maoni yako au ya taasisi? Na maoni ya taasisi yanapatikanaje?Kijana machachari na anayetikisa katika anga za CCM kwa sasa Paul Makonda ameweka bayana kwamba kwa wadhifa alio nao yeye ndiye msemaji wa Jumuiya ya vijana UVCCM.
Akizungumza na Tanzania Daima kwa kujiamini kijana huyo machachari amesema yale yote aliyoyasema kuhusu Edward Lowassa na kundi lake ndiyo msimamamo wa Jumuiya yao na alizungumza kwa niaba ya UVCCM na siyo tamko lake binafsi kama mafisadi wanavyotaka.
Hata hivyo Mwenyekiti wa UVCCM Ndugu Sadifa Juma na Katibu mkuu wa UVCCM Sixtus Mapunda walikataa kukubali au kukanusha walipozungumza na Tanzania Daima.
Kwa sasa kuna vita kubwa ya kuwania madaraka ndani ya CCM ambapo makundi mawili yanayovutana yamekuwa yakiibuliana kila aina ya kashfa kuchafuana.
Tayari kuna tetesi zimeanza juhudi za chini kwa chini kutaka kuyapatanisha makundi hayo hasimu kwa hofu kwamba kuna hatari kwa chama hicho kuvunjika vipande vipande.
Kimbunga, hata Nape alishatuhumiwa kutoa maoni yake badala ya chama. Ni vigumu kutenganisha viwili hivi kwani upande wowote usio kubaini msimamo uliotolewa utayaita ni maoni binafsi badala ya chama.Kuna shida kubwa.