figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,197
- 64,643
ulitaka uwe wewe!!!!!!!!!!mmmmxniiiiuuuuuuuuuuh!! wivu tuuu!!!
cc Bishanga
video zote naziweka jukwaa la kikubwa. asiye na access haoni. baada ya Evelyn Salt kwenda singida, Slave alibaki anajisavia Arabela. nayo naiweka hapa. Jiwe linalo ishi alivyokua anapanga kuupindua uongozi wa jf. nayo ntaiweka hapa. atakaye nitishia maisha namsema kwa Invisible. mia
ndo maana nataka nikuumbueni. hiyo video ntaiweka hapa hapa watu waone kaka na dada wanayo yafanya. ongea vizuri kijana. miafigganigga ujue Slave is my brother
ipo tayari. ntaiweka hapa usiku. miamkuu figganigga ama kweli umeamua, nilivyokimbila kuona kuna nini huku! sasa unaonaje ukiitafuta na video ya C.T.U na Spike Lee wakiongea na Bishanga kuhusu maendeleo ya CC... LOL
mimi ndo figganigga a'k'a #bukobaboy . mia
dah! jumamosi ntakua home. unataka tukacheze dat? sikuile ulinambia wewe ni mtalaam wa draft nlipokuambia uje pale sigon nikupuge #super ukaogopa. jumapili baada ya kutoka church ntakua free zaidi kuliko jmosi. mia
dah! jumamosi ntakua home. unataka tukacheze dat? sikuile ulinambia wewe ni mtalaam wa draft nlipokuambia uje pale sigon nikupuge #super ukaogopa. jumapili baada ya kutoka church ntakua free zaidi kuliko jmosi. mia
ah ah ah! dat nitakugalagaza sana mkuu! Huo mchezo nilianza kuucheza nikiwa na miaka 8 .mia
njoo na rafiki zako muwe mnasaidiana sababu mimi naucheza utafikiri robot. michezo yote natisha. ntakuangalia kiwango. nikiona una kiwango cha kati ntamwambia Madame B au mathematics ndo waje wakufundishe!..hahahaaa...!!!. mia
Napita!!