Matingi litikiti
Member
- Apr 26, 2016
- 64
- 25
Wana JF naombeni ushauri mimi ni mwajiriwa wa Serikali mwaka wa 5 sasa, nimeombea kazi na cheti hichi hichi tena wizarani kwa vyeti vyangu kupitishwa pasipo kukaguliwa kwa mashine sasa hii leo waziri anasema kuna waajiriwa feki sasa cjui mimi nitakuwepo? ? Niombeeni ndugu zangu kama watatumia kucheki kwenye system nahic mimi nitakuwa JIPUUUUU