Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
Una masharti sana.Mungu akujaalie, inshaallah!Kweli na tafuta mchumba serious nimekuwa mtu mzima nahitaji familia
Vigezo serious awe handsome wa kiasi .
Awe 32 -40
Awe hajawahi kupata mtoto kokote.
Awe anafanya kazi kaajiriwa .
Elimu Anizidi mimi na Diploma .
Awe mweupe au maji yakunde awe mrefu wastani.
Asiwe mzubavu awe anachangamkia maisha .
Sipendi mtu mkimya sana nasipendi wambeya .
Akiwa arusha ni raha zaidi.
Kama ni mikoa mingine awe anauwezo wakuja Arusha.
Asiwe mchungu .
Na asiwe mchoyo na asipende kuweka siri .
Jingine asiwe mlevi ., awe anahofu ya Mungu.
Awe mkristo ila asiwe anasali kwenye makanisa ya kilokole nataka haya makanisa yanayotambulika , katoliki , lutheran , anglikana ila haya makanisa yasiotambulika awali hapana.
Nipewa hii na ndugu yangu nisaidie kupost yeye ana 30 sitaki midomo .
Kalale .
msi comment bakini na ubishi wenuTusiokuwa Mahand some tunacoment wapi??
kalale kesho jobNilimuona mmoja mwenye hizo sifa,ila sasa yuko mbali kwelikweli,mbinguniii huko ndani ndani
Kazi yenyewe ninayo sasakalale kesho job
Ndo ulale uamke ukatafute young blood.Kazi yenyewe ninayo sasa
Hahaha,msaidie mwenzio huyo kutafuta mchumbaNdo ulale uamke ukatafute young blood.
Kama ni mjasiriamali au mfanyabiashara mwenye elimu hata ya bachelor je inakuwaje hapo.Kweli na tafuta mchumba serious nimekuwa mtu mzima nahitaji familia
Vigezo serious awe handsome wa kiasi .
Awe 32 -40
Awe hajawahi kupata mtoto kokote.
Awe anafanya kazi kaajiriwa .
Elimu Anizidi mimi na Diploma .
Awe mweupe au maji yakunde awe mrefu wastani.
Asiwe mzubavu awe anachangamkia maisha .
Sipendi mtu mkimya sana nasipendi wambeya .
Akiwa arusha ni raha zaidi.
Kama ni mikoa mingine awe anauwezo wakuja Arusha.
Asiwe mchungu .
Na asiwe mchoyo na asipende kuweka siri .
Jingine asiwe mlevi ., awe anahofu ya Mungu.
Awe mkristo ila asiwe anasali kwenye makanisa ya kilokole nataka haya makanisa yanayotambulika , katoliki , lutheran , anglikana ila haya makanisa yasiotambulika awali hapana.
Nipewa hii na ndugu yangu nisaidie kupost yeye ana 30 sitaki midomo .
Kalale .
Amenifurahisha tu anataka Mu Arusha.Hahaha,msaidie mwenzio huyo kutafuta mchumba