Mimi napenda miguu na sura je wewe??

Mimi napenda miguu na sura je wewe??

Naitwa Comrade, ukiniita kipepe utakua hujakosea! Ukiniita KING OF THE JUNGLE au MAJITU MWITU MSITU"! utakua sawa pia. . wayaaaaaa kama umeme!!!

Ebanaeeee! Napenda sana mwanamke awe ana miguu mizuri, isiwe minene sana, awe na sura nzuuuri, ebanaee na asiiweee chibongeee!

Ebana kwasifa hizo Mimi comrade narizika yani.. Ebaana tz kuna watoto wakali sanaaaa!

Aseee comrade lazima mwaka huu nioe maana ujana hauna mwsho na uzinzi ni dhambi lazima ikifka December niwe na mke mzuri mithili ya miss world

Ohhoooo Dada zangu mnakula nini miaka hii mbona wazuri hiviiiii????!
Demetria-Obilor-Feet-3162114.jpg
 
Kuna hali mimi huwa nayo,
Nikipishana na demu njiani, nikiona sura inaridhisha, najikuta automatically nimecheck miguu
...
hatupo tofauti sheikh na mimi hivyohivyo demu akiwa mzuri na miguu ivutie sio mguu chelewa au kigimbi
 
Yaani unapenda wanaofuga kucha?
HAPANA tena HAPANA KUBWA.

Napenda vitu smooth kama hzo nlizopost...Fupi lakini safiii si unajua mdada hutakiwi kuwa huna kabisa kucha si unajua eeh? maana kuna wale wala kucha (wananiboaga kweli)

Acha vtokeze kduchu then vipndezeshe...Mikucha kama ya kina wolper au mke wa rayvanny staki Kuparuana staki ule mi nauona kama uchafu TU.

Na zisiwe za kubandika...Ukibandika TU nishakuekea X...stakagi wabandka kucha mimi otherwise uwe na matatizo ya kucha ila kama kucha n nzuri ila madai n fashion Naboreka.
 
Back
Top Bottom