Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,913
- 70,690
Sijakidhi vigezo mi kibonge
Sijakidhi vigezo mi kibonge
Weka nawewe yako acha wogaa. . au PM nicompeee
We mtoto punguza spidi mbele kuna hatari
Sijakidhi vigezo mi kibonge
Me namsubiri atakayependa miguu ka miti ya genge nile nae sahani moja,.
Unaweza ukawa kibonge lakini kibonge mwepesi
Yaani hili ni tinginya
WayaaaaWEKA PICHA
Dunia imehamia kiunoni mkuu!
'Mguu-bia' ulikuwa 2015's
'Sura' ilikuwa enzi za Mwalimu!
mimi nampenda mwanamke yoyote yule ambaye hatoniomba Hata sh tano mpaka niwe nampa mwenyew
So sasahiv??
Tinginya au lishangazi
Kiunoni si makalio mkuu?