comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,545
- 17,583
- Thread starter
- #141
Manyara moja hiyoo
Hah enjoy hii kitu ya Manyara.
Hah enjoy hii kitu ya Manyara.
Manyara moja hiyoo
Ngoja na me nitafute ya huko
Dah...nimekuja kasi nikijua ni uzi wa vyakula....njaa bana [emoji2960]Naitwa Comrade, ukiniita kipepe utakua hujakosea! Ukiniita KING OF THE JUNGLE au MAJITU MWITU MSITU"! utakua sawa pia. . wayaaaaaa kama umeme!!!
Ebanaeeee! Napenda sana mwanamke awe ana miguu mizuri, isiwe minene sana, awe na sura nzuuuri, ebanaee na asiiweee chibongeee!
Ebana kwasifa hizo Mimi comrade narizika yani.. Ebaana tz kuna watoto wakali sanaaaa!
Aseee comrade lazima mwaka huu nioe maana ujana hauna mwsho na uzinzi ni dhambi lazima ikifka December niwe na mke mzuri mithili ya miss world
Ohhoooo Dada zangu mnakula nini miaka hii mbona wazuri hiviiiii????!
Dah...nimekuja kasi nikijua ni uzi wa vyakula....njaa bana [emoji2960]
Kweli aseeda yaani mzuri mpaka unaweza kumuonea huruma kumgegeda
Karibu Moshi
Sanya juu kuna miguu ya bia aina zote mkuu.Moshi sehemu gani ???
I see a brother, you've said it all.[emoji111]Ni kweli 100%
90% Mwanamke mwenye kucha safi anaependa kucha zake 1.ni msafi in Nature 2.Papuchi safi 3.Mtamu sio kdg 3.Wadekaji
ooh Geez girls wa hivi hunimaliza muraaaaa........
Halafu vimikono vyao huwa vilainiiiiiiiiiii yes u can feel nimeshikwa na mtoto wa kike......
Nitajongea pande hzoSanya juu kuna miguu ya bia aina zote mkuu.
Povu?Achane kuchambua watoto wa wenzenu, kazaeni wakwenu wenye miguu(sijui wasio na miguu wanatembelea nini) sura nzuri muone ilivyo shida kukitunza na mtu anakitolea kasoro tu. Afadhali ubaguzi Wlwa rangi ila WA mwili ni mbaya Sana na uko kwa waswahili sanasana
Yes povu wewe mwenyewe una sura kama nini sijui ila unataka msichana mwenye miguu yenu imepindaPovu?
haahaha hiyo sio sura yangu, nimeweka tu katuni huyoYes povu wewe mwenyewe una sura kama nini sijui ila unataka msichana mwenye miguu yenu imepinda