Yesna asiwe malaya pia
Haya....na mm nimekubali yotee🤗Liwalo na liwe tu, mimi nimekubali kuona [emoji1549]
Haya....na mm nimekubali yotee[emoji847]
Hahah....akijitegemea hamtambakiza nyie,.Sawa mpe hi Confessor mwambie, Ajitegemee ikiwezekana
Hahah....akijitegemea hamtambakiza nyie,.
AlaaaaMimi tbt nakuja kukuona wewe siyo confessor
Mungu atamlinda Tu
Alaaaa
Kumbeee
Mimi hata sasa niko tayari kabisaaa
[emoji39][emoji1]
Naitwa Comrade, ukiniita kipepe utakua hujakosea! Ukiniita KING OF THE JUNGLE au MAJITU MWITU MSITU"! utakua sawa pia. . wayaaaaaa kama umeme!!!
Ebanaeeee! Napenda sana mwanamke awe ana miguu mizuri, isiwe minene sana, awe na sura nzuuuri, ebanaee na asiiweee chibongeee!
Ebana kwasifa hizo Mimi comrade narizika yani.. Ebaana tz kuna watoto wakali sanaaaa!
Aseee comrade lazima mwaka huu nioe maana ujana hauna mwsho na uzinzi ni dhambi lazima ikifka December niwe na mke mzuri mithili ya miss world
Ohhoooo Dada zangu mnakula nini miaka hii mbona wazuri hiviiiii????!
Basi sawaaaMi napenda Utu wa ndani usiochakaa.Utu wa nje unabadilika at any time t.
HayaYaan pale ntakapo on a mgodi umefurika ndo nampa sio nna ukame na yeye ananisumbua
we huoni tatizo kabisaa??😂😂😂mkuu mbona avatar yangu haina tatizo lolote!!
Hahahah uduku na trump sioMkuu tangia nifungue acc ya jf mwaka juzi hii ndio avatar yangu na sijawah badilisha
Yaani unapenda wanaofuga kucha?Bwana mimi uchawi wangu upo hapa...ki ukweli baada ya kuku verify secta hiii mengine ya uzuri na shape yanafata ila hata uwe mzuri kama malaika kama una Kucha mbaya sihangaiki na wewe ki ukweli.
View attachment 1139160
View attachment 1139161
Kucha Kucha Kucha ndio Kila kitu
Team miguu ya balimi mwaka huu lazima tuolewe, zamu yetu sasa, mushatuchosha na vyuraaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Imejitype[emoji16]
Nshamba kwa akina inshomile huko. Ila sio wote bana,wengine wafupi,miguu ya haja. Hhaaha wapi kateleloooo.Karibu Bukoba
Kwenye msafara wa kenge na mamba wapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nshamba kwa akina inshomile huko. Ila sio wote bana,wengine wafupi,miguu ya haja. Hhaaha wapi kateleloooo.