Goku 255
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 432
- 838
Nakumbuka baba alivyokataa kunisomesha, ila aliweza kuhudumia wake za watu. Baba alikuwa na jeuri, sana alinitishia kuwa hataye hakusoma ila mama alimwacha kisa tabia zake.
Hata baba hakujenga alibakia kwenye nyumba ya urithi yaani makuti, na venye baba alivyotesa enzi hizo uchagani na kahawa ila aliambulia kwenye uhuni.
Nimepambana na kumjengea nyumba, sikuamua kulipa kwa mabaya, nilitenda mema ila sasa hivi hao waliokula naye hawapo naye. Sasa hivi baba hajiwezi mimi ndio ninayemhudumia.
Mke wa mtu sumu, yaani hayo maisha yamenifanya nikaogopa mwanamke. Bora tu niwe mseja maana unapendwa ukiwa na nguvu, zikiisha we ni tambara bovu.