Mimi nanyimwa lakini wengine wanamegewa

Mimi nanyimwa lakini wengine wanamegewa

Usitake kujua upande wa pili wa mtu, usinitafutie ban isiyo na ulazima tena haswa kwa kimwanamke uchwara kama wewe unae tafuta attention kwa wanaume humu...jiheshimu

Sent using Jamii Forums mobile app
kenge kweli.
Hebu kafie mbele. Una hadhi hata ya kunyanyuliana pua na mimi? Nikutafutie ban si ningekuwa nimekupa kiki? Attention ya wanaume? Wapi? Au na wewe ni mmoja wapo?.
Mmezoea ku attack wadada wa humu na visababu vyenu vya kijinga sasa hapa umevuka bahari ni habari nyingine.
 
Duuuu, wew mtoto wa kike tusi linakutoka fasta hvo!!!

Au huyo jamaa huwa anakulete poyoyo poyoyo mala kwa mala?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke wa sampuli hii unaweza juwa maisha anayoishi na mahala anapokaa hususani mwanamke mwenye utulivu zero na mropokaji, matusi kwake ni fasta, eti falaa nimemshangaa sana, ana stress sana nimeona nisibishane nae asinitafutie ban, eti hana cha kushauri amelazimika kujadili vazi la mwanaume kwani ni lazima aseme kwamba ni sheria sasa kila uzi uandike kitu, ana ujinga sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaishe, nikiongea naweza kuwa useless na mm.

But nikwambie kitu kimoja Doll,

Jitahid kuwa focused na inshu ambazo zitakufanya wew ku gain something.

Wachana na mambo ya kushauri na kukosoa sanaaa, you're not better enough.
Fala siyo tusi mkuu . kwa kingereza wanasema "useless" sema kwa kiswahili lina makali.
Hivi kwenye huu Uzi ananiambia nimshauri mtoa mada, kuhusu nini sasa?
Maana mambo ninayoona ya kujadili ni mawili.
1: mwandiko wake
2: picha yake (kwa sababu kaiatach ili tuijadili).
Sasa mimi nimeamua kubase kwenye picha kosa langu ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka siku umejiunga JF ukiweka uzi unaweka na picha umevaa nguo hii hii.

Ulitakiwa upitie nyuzi tofauti za humu uone kuwa hii sio sawa na FB...upo mkoa gani bado mnavaa moka nyeupe?


Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndo nguo anayoiaminia, afu jamaa/ mvulana bado hajaelewa tofauti ya JF&FB afu anahisi huyo nguo ni next level
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom