Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,873
- 51,660
Kisa ni mzungu kavaa, fikra zetu watu weusi zimejaa ukakasi sana,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisa ni mzungu kavaa, fikra zetu watu weusi zimejaa ukakasi sana,
Inategemea mkuu. Weka picha tuone
mbna wote m'mebez kweny kuvaa kwang, ARAFU UKIONA WATU WANAKUSEMA XANA JUA WAMEKUKUBALI "SWAHILI SAYS"
alie sema utam wa pp mate yko, hakukosea, kwan vaz lang linanifaaa mm mwenye nalo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume ana aanza na umri gan!!?Nakuheshimu sana pamoja na mchango wako lakini unapomuita huyu mvulana mwanaume inabidi nikutafakari upya!
mbna wote m'mebez kweny kuvaa kwang, ARAFU UKIONA WATU WANAKUSEMA XANA JUA WAMEKUKUBALI "SWAHILI SAYS"
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana macho lkn hawataona!!!kama kwenye picha ndo ww bas ndo maana anakupiga kalenda unaonekana mchicha mwiba !!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Look at me,basi mkuu hebu nielekeze kwa picha namna unavyovaa
Araf, baada ya kujifanya ww ndo mm what next!!?Bwana mdogo, iyo picha yako hapo juu nimechukua, niendege nikijifanya mimi ndio wew.
Sent using Jamii Forums mobile app
basi mkuu hebu nielekeze kwa picha namna unavyovaa
Wanamitindo wasiokuw rasmi wapo kira idara!!Ndiyo "kadogo" yaani fungia kiunoni ila mkanda usiukaze sana. View attachment 1000968
Unamaamin ktk jeans na ndo ulev wako..Bora sasa ungependeza hata.
Haujapendeza ndiyo tatizo. Haviendani na sura yako na ulivyonyoa."umebaka fashion "
Hadi majani yamebadilikaKijana, iyo pic yako ni edited from photoshop au ulipiga kwa kutumia simu tu?
Sent using Jamii Forums mobile app



Ni mtazamo tyuu maana bado haijaidhinishwa!!Nasikitika kusema hata "wavulana " wamemkataa mkuu. Ngoja nikajaribu kwa akina Delicious kama watampokea.
uongo ulio-editiwa kurazimishwa kuw ukwelModerator nomba kabla hamjamkubalia member mpya kujiunga humu, please wafanyieni interview kwanza. Aibu ya mwaka