Mimi nanyimwa lakini wengine wanamegewa

Mimi nanyimwa lakini wengine wanamegewa

Upo nje ya mada, hebu acha kujaza server kama huna cha kushauri ruka uzi, kila mtu ana choices zake kwenye mavazi sasa ni vibaya kukosoa, ulitaka akufarahishe wewe kwani wewe ni nani kwake, wewe kama hupendi wapo wenzako wanaopenda uvaaji wa vazi in question.

Sent using Jamii Forums mobile app
Gooood[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la tutoto twa siku hizi, tunajiona tupo sahihi muda wote, hata kakikosea hakatak kuambiwa

Mwisho wa siku utakasikia..
"I believe in me."

Pumbavu, mtapata tabu sana, sumbua humu JF pekee kwenye fake ID, nje kanaufyata mdomo.
Na kanajiona kwenye mapenz hakana bahati.
Mwanamke wa sampuli hii unaweza juwa maisha anayoishi na mahala anapokaa hususani mwanamke mwenye utulivu zero na mropokaji, matuai kwake ni fasta, eti falaa nimemshangaa sana, ana stress sana nimeona nisibishane nae asinitafutie ban, eti hana cha kushauri amelazimika kujadili vazi la mwanaume kwani ni lazima aseme kwamba ni sheria sasa kila uzi uandike kitu, ana ujinga sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaishe, nikiongea naweza kuwa useless na mm.

But nikwambie kitu kimoja Doll,

Jitahid kuwa focused na inshu ambazo zitakufanya wew ku gain something.

Wachana na mambo ya kushauri na kukosoa sanaaa, you're not better enough.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu naacha.
Ila suala la mtu kuniambia kwamba kama sina cha kushauri niache. Angeweza pia kunyamaza maana yeye sio mtoa mada! Kama yeye anavyotaka niache pia na yeye angeweza kuacha kuniambia pia.
Kwanza yeye ndiyo wakwanza kuni quote na nikamjibu ndiyo akaja na hiyo comment yake.
Angeweza pia kunyamaza.
Kila mtu hapa anachangamsha genge pengine hata mtoa mada ndicho anachokifanya..na wewe ukiniambia nakosea kukosoa na wewe ndicho unachokifanya hapa kwenye huu Uzi.
 
[emoji102]
Sawa mkuu naacha.
Ila swala la mtu kuniambia kwamba kama sina cha kushauri niache. Angeweza pia kunyamaza maana yeye sio mtoa mada! Kama yeye anavyotaka niache pia na yeye angeweza kuacha kuniambia pia.
Kwanza yeye ndiyo wakwanza kuni quote na nikamjibu ndiyo akaja na hiyo comment yake.
Angeweza pia kunyamaza.
Kila mtu hapa anachangamsha genge pengine hata mtoa mada ndicho anachokifanya..na wewe ukiniambia nakosea kukosoa na wewe ndicho unachokifanya hapa kwenye huu Uzi.
 
Nilichogundua wewe ni mbinafsi...sasa kwanini umeweka picha yako tu?

Weka na ya kwake ukiambatanisha na number yake ya simu wadau wakamkanye aache tabia ya kuwasiliana na wanaume wengine
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fala siyo tusi mkuu . kwa kingereza wanasema "useless" sema kwa kiswahili lina makali.
Hivi kwenye huu Uzi ananiambia nimshauri mtoa mada, kuhusu nini sasa?
Maana mambo ninayoona ya kujadili ni mawili.
1: mwandiko wake
2: picha yake (kwa sababu kaiatach ili tuijadili).
Sasa mimi nimeamua kubase kwenye picha kosa langu ni nini?[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
[emoji849][emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la tutoto twa siku hizi, tunajiona tupo sahihi muda wote, hata kakikosea hakatak kuambiwa

Mwisho wa siku utakasikia..
"I believe in me."

Pumbavu, mtapata tabu sana, sumbua humu JF pekee kwenye fake ID, nje kanaufyata mdomo.
Na kanajiona kwenye mapenz hakana bahati.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu kweli hawa si ndiyo wakina slay queen, kazi ni kutafua attentions maana sioni kama ni sheria lazima kila uzi mtu utie coment sasa haka kanijiita baby doll anamkejeri jamaa mavazi yake unajua ni ujinga sana, kazi ni kutafuta attention ili vijana wakurupuke waende pm huko ni ujinga nimeona nisikae kimya nimpe muongozo ingawa nimeambulia matusi nmegundua ni stress za kukosa bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom