Mimi nanyimwa lakini wengine wanamegewa

🤣🤣🤣🤣🤣

 
Hiyo model

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetoa 50 tu unataka kula mzigo watu wanahonga mpaka bahari na bado wanakosa.

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Daah mkuu unachamba lol.
Umeshinda mkuu umenizidi viwango vya uchambaji[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]. Usinichambe zaidi nitakimbia jf. Siku njema
My intention was good but imeleta balaah , am sorry pale nilipo kukwaza, we are here to love one another not to hate each other, my apologies...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…