B40
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 820
- 537
Msema kweli mpenzi wa Mungu. Jana nilileta uzi hapa kuhusu wanawake wa kimbulu jinsi walivyo wazuri, hapo nilikuwa Babati. Leo bwana nikaenda Katesh, mama yangu!!
Huku ndio utajua kwanini Mungu anaitwa Mungu. Hawa viumbe bwana wazuri kinomaa msomali si msomali, mwarabu si mwarabu, mzungu si mzungu, yani acha.
Nawashauri wenye wake msije huku mtajuta kuoa mapema. Halafu hawana gharama mtoto unakula naye bata siku tatu anakuomba Elfu 5. Ila nahofia kuja nae Dar maana mapedeshee watanipora au kesi za fumanizi zitakuwa kila siku.