Mimi na Pinda Pete na chanda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mimi na Pinda Pete na chanda

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kakke, Jun 27, 2012.

 1. Kakke

  Kakke JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,797
  Likes Received: 389
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 2. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mmhhh, Pinda hapo siyo siri kapinda kwelikweli. Mkono wa binti umeminywa kwelikweli.
   
 3. B

  Bob G JF Bronze Member

  #3
  Jun 27, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Liwe na liwalo Dr Steven Ulimboka kafanyiwa Unyama< Mh Pinda tupetafsi tusiyoijua juu ya hili now hakuna atakae kutetea ni lazima ujiuzuru 2
   
 4. mnyongeni

  mnyongeni Senior Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wanafiki hawa
   
 5. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kimwana anajuwa kwa mtindo huu wa kubadilishwa mawaziri kila kukicha lazima apange safu!
   
 6. W

  Wandugu Masanja JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 1,535
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hivi wadanganyika mpaka lini tutatawaliwa na familia zile zile hivi wadanganyika tuko milioni arubaini kweli familia hizi za nyerere kawawa mwinyi kikwete mnauye ndio wana maarifa kuliko wadanganyika milioni arubaini?
   
 7. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Ukifatilia kwa makini utagundua leticia nyerere hana hata chembe ya udugu na nyerere.
  Hao wengine umepatia, hebu fanya research ndogo tu.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 8. BUBE

  BUBE JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nadhani mfumo unawafanya watu kudhania kuwa uongozi ni wa kurithi badala ya kupiganiwa. Kwa bahati mbaya mfumo haujakaa sawa kwa watu wote, na hasa endapo unatokea familia masikini lazima uwe na mtoto wa familia ya kiongozi wa zamania akushike mkono au tajiri akubebe ndo utoke,,,,otherwise inaweza kukugharimu jasho la damu (sisemi kuwa haiwezekani) mpaka kupata (kutoka) uongozi wa juu!
   
 9. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,291
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  TATIZO la PINDA ushamba mwingi, hapo kukamata huo mkono wa huyo dada basi anajiooona...
   
 10. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  sharobaro!
   
 11. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wacha Mhe Pinda afaidi maua ya dunia, naye pia ni lijali ati!!
   
Loading...