Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
kasheshe ya hiyo sababu huwa ni kwa muda tu..... wala msihofu atawa-join tu tena muda si mrefu, lol!Acha kutuzingua, lazima utakuwa umeangukia kwenye mikono ya binti mlokole hahahaaaaaa
Dah asante FP ninashukuru ila sijakuelewa unanikaribisha kwenye club kwa muda kama unavyosema au?kasheshe ya hiyo sababu huwa ni kwa muda tu..... wala msihofu atawa-join tu tena muda si mrefu, lol!
welcome to the club Erickb52
Asprin kuja bana kuna mtu huku anataka kuitia nchi kwenye myumbiko wa kiuchumi!sijui ndo anamsomesha Kijino hapa ndo tatizo la wanafunzi wangu hawa wako busy na praktiko wanasahau kabisa mambo mengine! Kaizer :whistle::whistle::whistle::whistle: Asprin:whistle::whistle::whistle::whistle::whistle:Hahahaaaa muite na Asprin tena waambie waje wakuombee wewe unayeonekana umezungukwa na ngufu sa gisa kila kona hadi maeneo muhimu lol
Hahahaaaa hii yote ni libwata ya Kipipi yan ameniweza aisee hebu Kipipi njoo mpenzi wangu nimekumiss sana sijakuona leo
no safari hii tumtoe nje ya mji, kuleee Charcol ribs. pale ryans bay kiwingu shost!!!!
Ngumu kumesaHihihihihhhhhiiii
Sawa...ila nawashauri na ninyi muige mfano wangu please
wewe chapa lapa bwana, ndofu kitu gani? kuna vitu vizuri huku zaidi ya ndofu......Dah asante FP ninashukuru ila sijakuelewa unanikaribisha kwenye club kwa muda kama unavyosema au?
Mi nimeamua kuachana nazo sio kwa muda ila kuna watu wanataka kunihamishia kwenye ile kitu tamu kuliko ndofu lol sasa ndio naanza kuona sijui nibaki tu nilikokuwa kuliko huko kwingine lol
Hahahaaaa hii yote ni libwata ya Kipipi yan ameniweza aisee hebu Kipipi njoo mpenzi wangu nimekumiss sana sijakuona leo
Mi kimoja tu kinanitosha BADILI TABIA nipongeze tu mwayakam zis wei nikupongeze. . ........
Nyoooooooo kumbe ndo janja yako eeeee
wewe chapa lapa bwana, ndofu kitu gani? kuna vitu vizuri huku zaidi ya ndofu......
Waooo umekuja eeeh nilikumiss sana d
Mzima?
BTW nilikumiss aisee achana na majungu wa hawa jamaa zangu
Nimeacha ndofu mwaya
Mr Rocky mtoto wa kilokole ni bora zaidi kuliko manung'ayembe aisee lolMungi umethibitisha habari niliyokuambia kuwa jamaa kakamatika na binti wa kilokole kampa masharti no ndyofu wala nisikuone ukichat na akina Mungi Blaki Womani, Preta Filipo, Mzee wa Rula, paka jimy, na the like na no kwenda kwa mrombo kula mbusi
I may loose the battle but not the war!!!