CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Kapalampya nisichotaka ni kilevi hyo ina alc 7%
Nimekaa nikaangalia faida na hasara za ndofu nimegundua yafuatayo!
Faida za Ndofu:
1. Zinanipa kitambi cha kuzugia
2. Zinanipa raha kwa Muda
Hasara za Ndofu:
1. Zinanigombanisha sana na Amyner kila mara
2. Zinanifanya natoa tip kubwa kuliko Bill yenyewe
3. Nikiamka naumwa Kichwa sana na uchovu kila mahali hadi kifanyio
4. Nikinywa jumamosi then jumapili nashindwa kwenda kanisani
5. Nachelewa sana kurudi nyumbani
N.B: Huwa hazinifanyi kuwa penda penda kama manoah na Filipo
Kwa analysis hiyo nimeona faida ni chache kulinganisha na hasara hivyo natangaza rasmi kuwa Nimeachana na kunywa ndofu kuanzia sasa na nawaomba na wengine muige mfano mzuri nilioutoa kwa jamii!
Kwa hiyo ntakuwa nikitoka mihangaikoni nanyooka nyumbani kulala...kwa atakayenimiss anitafute kabla ya saa 12 jioni please mi na Ndofu basi nimehamia kwenye Fanta Orange!
View attachment 70296
Najua taarifa hizi zitawashtua Preta Blaki Womani Arushaone PakaJimmy Mungi marejesho charminglady Mr Rocky Mzee wa Rula LiverpoolFC BAGAH Nicas Mtei Vin Diesel Judgement sweetlady Kabakabana IGWE Elizabeth Dominic Smiling Saint C6 na wengineo ila ndo hivyo!
Niko serious na nitauthibitisha soon Mzee wa Rula
ha haaaa, mimi sina wivu kabisa......tena kwako? wala, nilikuwa tu namtahadharisha mdogo wangu.
yaani ukinipa ban sidhani kama utaeleweka na watu wa humu ndani.....watajua tu ni hasira za kupigwa chini.....
mimi nina wasiwasi na wewe kuhusu TANMO, maana kapotea ghafla, sasa sijua masikini anajitafuta mahari alitajiwa parefu, lol!
he heeeeeeee, kuna mtu karibia anaenda kutoa mahari, lol!Hi Sweetie :hug:
he heeeeeeee, kuna mtu karibia anaenda kutoa mahari, lol!
he he heeeeeeeee, haya bwanaNilikuwa Kwa wakwe zangu, kujadiliana nao kuhusu Mahari na wanakusalimia sana...
Pia wamekupongeza kwa kuchagua Mwanaume mwenye akili..
Huyo anayeenda kutoa labda kwa ajili ya yule Mdogo wako mnayefanana naye 😉
Niaje Hane, Swiiti hati, Barafu wa Moyo, Pumzi yangu? Habari za siku mbili tatu?
Nilikumis mpaka nimeshindwa kuvumilia nikakatisha Vakesheni ya JF...
ItakuKanumba ujiju oooh
pacha wako hajambo kabisa, kwa kweli nimejitahidi sana......ila sasa alikuwa ana wasiwasi hajui uliko, ndo akaniambia labda nikubali tu mwingine apeleke mahari kwetu, ila uwifi wetu waendeleaHebu nipe ripoti. My Pacha sweetlady hajambo?
Nina siku nyingi kweli sijawasiliana naye, japo mara ya mwisho kuongea naye alisema una-take a very good care of her..
Alikuwa anakusifia kweli, sijui umempa nini yule?
Mysterious !
Inexplicable ! Erick52
hivi inakuaje mtu unatangaza kuachana na kitu flani then pipo wana'judge ?
Wengine wakuponde ! Uonekane sio mjanja tena !
Kwani kua cha "p" ni ujanja ?
Considerin that booze is one the pillars of human civilization !!
Tena it's kind of shockin , how little we know kuhusu Pombe .
Forinstence we pointed out a while back , that some popular misconceptions abt alcohol persist despite being goddamned fatal. Asikudanganye mtu!
hakika kei yaweza mbadili shetani kuwa malaika! chezeiya kipenyo weye??? kila kheri bro!
Mie napita tu.
ItakuKanumba ujiju oooh