Mimi na mke wangu faizafoxy mweupe

faizaFox 'angejisitiri' bana huyo sidhani kama ni yeye
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaa siku hizi mnamuweza kweli yaani mmetoa kwenye siasa hadi kwenye mapenzi hahahhaaaaa
 
Mkuu MM ni mchokozi kweli, hiyo biashara utaiweza??? Naona style ya Beijingi hapo, nakutakia mafanikio kwa ndoa yako!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…