Nilianza mwaka nikiwa na machungu mengi na matatizo mengi katika mahusiano ya kimapenzi upande wangu.
Nilimuomba Mungu sana aweze kunipitisha katika hali hiyo ngumu na amejibu maombi yangu.Moyo wangu ni mweupe na nimesahau yote.All i wanna do is move on.I know that i dont want to be alone forever,but i have gotten to the point i have realised its better to be alone than being with a wrong person!
I love u all friends,
tabia ipi nibadili?na niwe na tabia ipi?
Pole mrembo, so many people are going through similar predicaments, but I have good news for you that there is a better way, you dont have to go through this short life cheating and being cheated, hurting and being hurt etc. you can terminate all pains and start living out your life happily in all its fullness, kama ukipenda kujua jinsi gani NIPM. Once again pole sana.
Kama hapo unajipiga finga na kitovu wazi ukiwa na staha utapata G aliye na staha
ni mengi tu,lakini yote yamepita kwa sasa
Usijali Kaba time is the best healer. Enjoy maisha yako to the fullest when you still can
Kama hapo unajipiga finga na kitovu wazi ukiwa na staha utapata G aliye na staha
Nilianza mwaka nikiwa na machungu mengi na matatizo mengi katika mahusiano ya kimapenzi upande wangu.
Nilimuomba Mungu sana aweze kunipitisha katika hali hiyo ngumu na amejibu maombi yangu.Moyo wangu ni mweupe na nimesahau yote.All i wanna do is move on.I know that i dont want to be alone forever,but i have gotten to the point i have realised its better to be alone than being with a wrong person!
I love u all friends,
We me au ke?
G, Ndo nini?
Gentleman or Gangsta.
Nilianza mwaka nikiwa na machungu mengi na matatizo mengi katika mahusiano ya kimapenzi upande wangu.
Nilimuomba Mungu sana aweze kunipitisha katika hali hiyo ngumu na amejibu maombi yangu.Moyo wangu ni mweupe na nimesahau yote.All i wanna do is move on.I know that i dont want to be alone forever,but i have gotten to the point i have realised its better to be alone than being with a wrong person!
I love u all friends,
Shost nafuata nyayo zako na mie.
Wifi excellent kakutibua?
God will make a way ..POLE!
Nilianza mwaka nikiwa na machungu mengi na matatizo mengi katika mahusiano ya kimapenzi upande wangu.
Nilimuomba Mungu sana aweze kunipitisha katika hali hiyo ngumu na amejibu maombi yangu.Moyo wangu ni mweupe na nimesahau yote.All i wanna do is move on.I know that i dont want to be alone forever,but i have gotten to the point i have realised its better to be alone than being with a wrong person!
I love u all friends,
pole sana na ukirudia tena utakutana na hali ngumu kuliko ya mwanzo..! subiri kwanza mpaka Mungu atakapo kubali..!