Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
-
- #21
Kichwa cha mada yako kinashtua sana, kinaonesha huitaji tena mpenzi wakatimajibu yako yanaonesha unamsubiri mwenyezi Mungu akupatie mpenzi. Hebu rekebisha kauli ili tujue nini hasa unataka mana hapo unatuchanganya.Ila pole kwa kuachika/kuacha.
pole wiii, ni muda tu ndo unaweza tibu moyo uliovunjika.
nina shockabsober 2 za moyo nimebakiza.....nikupe?
Nilianza mwaka nikiwa na machungu mengi na matatizo mengi katika mahusiano ya kimapenzi upande wangu.
Nilimuomba Mungu sana aweze kunipitisha katika hali hiyo ngumu na amejibu maombi yangu.Moyo wangu ni mweupe na nimesahau yote.All i wanna do is move on.I know that i dont want to be alone forever,but i have gotten to the point i have realised its better to be alone than being with a wrong person!
I love u all friends,
Welcome to the Club, brother.
Pole lakini
nipe tu mamie
Mybad Michelle sijui kwa nini nimemfananisha na mkaka, Nisamehe mwaya shost Kaba, ila nawe umezidi kuvaa masuruali na kaptura.Pole sana, Hakuna relationship isiyokuwa na challenge na matatizo yake, pamoja na kumuomba Mungu akupe yule aliokuandalia,muombe pia hekima na uvumilivu na imani. Kila la kheri K.....!!
pole mwaya,ni vizur kutulia kwa muda kama ulivyoamua ili hata siku ukirudi tena ktk ulimwengu wa mapenz uwe umeshapona majeraha yote.
Pole sana, Hakuna relationship isiyokuwa na challenge na matatizo yake, pamoja na kumuomba Mungu akupe yule aliokuandalia,muombe pia hekima na uvumilivu na imani. Kila la kheri K.....!!
pole ndio kujifunza na kukomaa kweenye maisha ya mapenzi
nakutumia....ni nzuri na imara sana....hata moyo upite kwenye mashimo ya aina gani....hauvunjiki....mimi nimefunga 4....
pole saana...
Mybad Michelle sijui kwa nini nimemfananisha na mkaka, Nisamehe mwaya shost Kaba, ila nawe umezidi kuvaa masuruali na kaptura.
Nawithdraw sentence yangu ya kwanza mamito.
Karibu chamani mdada