kwani humu siwezi kupata majibuMajibu yake ungeyapata facebook, kwakuwa ndo uliwapata huko.....
kwann mabinti wa facebook wanajirahisisha sana kwangu? au ni kwa kila mtu? maana nimeshagaragaza mademu saba kwa msaada wa fb wawili kutoka chuo kikuu cha saut mwanza wawili wa ifm na mmoja wa udsm. sasa najiuliza ni mm tu au na wenzangu yanawakuta?
kwani humu siwezi kupata majibu
hivi inawezekana tunashangaana eeehMi nadhani mligalagazana, tabia zenu nyote zinalingana wewe na hao mabinti. (ndio mambo ya mitandao - sex movies na picha mitandaoni huamsha hisia sana kwa vijana, usione ajabu unavyowashangaa hao madada nao wanajiuliza wavulana wasiku hizi wanapenda ngono kupita kiasai.
Kama ni chemical equation believe me is chemically balanced
Majibu yake ungeyatafuta facebook, kwakuwa ndo uliwapata huko.....
hivi inawezekana tunashangaana eeeh
c hata hapa naweza kulaKunawa unawe kwingine, kula ukale kwingine.....
kwani watu wazima hawabanjuanimambo ya facebook peleka facebook ,humu hakuna watoto kuna watu wazima tu.
vijana wa siku hizi ndivyo walivyoKama umeweza kugalagazana na mabinti 7 je wavulana wangapi wamegalagazana nao kabla yako assume kila mmoja anagalagazana kila siku na mtu mwingine, yaani wewe ndiyo sample ya wavulana not repetitive so kwanini kila mmoja asishangae? ni mtazamo tu!
vijana wa siku hizi ndivyo walivyo
na mm nimobid2015
Unamaana gani na neno ndivyo walivyo? wewe umejitowa wakati ndo umetushuhudia kugalagazana na mabinti-7? what?
U are very cheap!!!!mabinti saba wamekutumia fasta.....