Mimi na Ka Passo hadi Kigali


Hivi kila mtu akipost gari analoendesha, JF itatosha?
Acheni mambo ya hadija kopa.
 
Pole sana ndugu yangu hii mineno ya shombo alistahili munawar ww wala sio mahala pake
 
whereof!!!!!!! LMFAO!
 
Hivi kila mtu akipost gari analoendesha, JF itatosha?
Acheni mambo ya hadija kopa.

Na wewe unajifanya kidume sana Nyambafu zako pia, nimeongelea safari yangu ya kuja hapa na gari ambayo wabongo wanaidharau wakati hata toothpick tu nchi haitengenezi, mimi sijajivuna na gari, ndo maana nikasema ka passo, sasa wewe na wenzako mnajifanya vidume mavi yenu.
 

Thumb up for you. Umemaliza kila kitu.
 
Huyu fa.la kweli siku akija kuendesha Murano ndio atajua alikua anaendeshs bajaji ya miguu minne
 
Siku akiendesha landcruser V8 atasema ndege yangu ni nzuri balaa
 
Wabongo midomo ya Kasuku utadhan wamepak mashangingi hom kwao
 
Matajiri wote siri duniani siri yao Ni kubana matumizi ila wabongo wanajifanya wana hela sana ulaya wananunua magari kusave time bongo wananunua magari cc 10000 ili kuwanyoosha wenzao kuwa wanahela sana fuel consumption tu shida YOU FOOLISH TANZANIANS WHEN WILL YOU EVER LEARN??
 

Sina mda wa kuzozana na vinyamkera vya sampuli yako ushajulikana wewe ni maskini wa kutupa ndio maana huna staha ya maneno, na wala huna haja ya kuvimba mashavu kunichimba mkwala zaidi nakuona unazid kuuthibitisha ujuha wako na umaskini wako wa mali na akili , mtu mwenye pesa hana element za kimaskini kama zako acha kuudanganya umma, hatujuani humu jukwaani lakini kwa kauli na michango tu, tunatambua upeo wako wa akili na kipato chako pia,wewe huna kitu unatafuta kick tu humu jukwaan huna kitu wewe ,ni fukara tu.
 
hivi passo nitaipata kwa shillingi ngapi vile?
 

Get some asprin and sleep!
 

Halafu kituko kikubwa ambacho kinafanya uendelee kuonesha ujinga ulio nao kichwan unaamin eti ukiandika kwa kiingereza utapandisha hadhi yako!, kweli wewe ni kula,kunya,kulala, na bado unaakili za kitoto sana sio sampuli ya kujibizana na mimi, lugha haiwezi ku determine uwezo wa mtu kufikiri bwanamdogo, kama wewe ni mjinga hata ukiongea kijaluo utabaki mjinga tu kama wewe.
 
Kwani pikipiki siyo usafiri? na ni wapi nimejivuna? Passo ni gari siyo pikipiki, pikipiki ikinyesha mvua unalowa, mimi sikulowa na mvua wakati ilinyesha sana njiani, umenipata wewe?

ficha ujinga wako,usitoe siri ya chumbani na mumeo,
 

I'm past of language bully!! Proud swahili speaker, even though I enjoy speaking English. You sound desperate and delusional. Im not sure you went to any notable school, you're probably a failure!! So go get some viroba, pee on your 👖 and 😴
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…