Konda: jogoo 200 temboni 300 jogoo 200 temboni 300
Chizi: nifungie jogoo watano na huyo tembo yuko wapi??
Konda: ondoa gari hawa co waendaji wanangoja punda...
Trafic alisimamisha gari, na maongezi yalikuwa kama hivi.
Trafic: Mbona namba za mbele tofauti na za nyuma?
Dereva: Maswari gani hayo Afande, wewe sura na makalio yako yanafanana???=) ) =D
duh!!!!!!!nimechekaBoy:kati ya mimi na choo unapenda nani zaidi.
GIRL: si ni wewe obvious, mbona unauliza maswali ya
kuudhi ivi?
BOY: kwa sababu ukienda chooni huwa una toa ch*pi
haraka na kwangu huwa tunasumbuana.
konda kaua bendiKonda: jogoo 200 temboni 300 jogoo 200 temboni 300
Chizi: nifungie jogoo watano na huyo tembo yuko wapi??
Konda: ondoa gari hawa co waendaji wanangoja punda...
teh teh,konda kaua bendi
hahahaaaaa, mambo ya lugha hayo, ukitaka kujua hii lugha nuksi waulize wazee wa mjengon ( wabunge)Jamaa yupo na demu wake bar,bili ikaja kaicheki,akafoka nani kanywa TOTAL hichi knywaj cha mwisho?nalipa vyote silipi TOTAL.
konda kaua bendi