Mimi Mwenzenu mapenzi basi

Status
Not open for further replies.
Mmh tupo wengi kumbe yaan acha tu wanaume ni pasua kichwa kweli
 
Usimtegemee binadamu kwa asilimia mia utaumia.
Kutokana na ubinadamu alionao binadamu mda wowote anaweza kufanya jambo la kuudhi.
Ukimpa binadamu biashara yako akuendeshee, mfano biashara ya usafirishaji, ukampa Noa yako awe dereva hapo kesi zinaanza, kila siku bili ya hasara unaletewa mara pancha mara trafiki ni visingizio tele vyauwongo.
Hivyo sawasawa
na mapenzi, sio wanawake tu mnaoumia pia na wanaume.
Unamsomesha mchumba wako kwa mapenzi ya kumwinua kiuchumi akimaliza chuo kikuu, anakuacha solemba, hata japo kukushukuru tu hataki, na anabadili namba ya simu ili asikusikie kabisa.
Hakuna garantii ya mapenzi, nyie mnaopenda msipende kupita kiasi, na mjue kuwa wakati wowote penzi linaweza kuisha hivyo kila wakati muwe mmejiandaa kuachwa.
Hofu hii isiwakataze kupenda
Kwani yapo mapenzi yanayodumu na ni wajibu wako kuyadumisha.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…