Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,101
"
Kuna mvulana na pia kuna Mwanaume!!
Kweli kabisaaa
"
Kuna mvulana na pia kuna Mwanaume!!
Yes!Kweli kabisaaa
Mie nataka mke mwema wa nama hiyoSio wote wanaoliwaza hilo
[emoji22][emoji22]
Sawa sawaMie nataka mke mwema wa nama hiyo
Unaogopa majukumuHabari wana jf mimi mwanamke ambae hana kazi sitaki ata kumuona wala kumsikia kabisa coz ni mzigo
Mimi nina kazi so inabidi niwe na mwanamke mwenye kazi pia ili tuweze kusaidiana majukumu ya kulea familia Jobless women stay back with me
Bora basi uwe na ata ujuzi lakini unakuta mwanamke hana ujuzi wowote yeye kila kitu anamtegemea mume aaaaaaaghrrr inaboaaa
Post sent using JamiiForums mobile app
uyo mtoto ktk kumzaa ni mbegu za mwanaume pekee ndo zilizo mzaa uyo mtoto???au ziliungana na yai la mwanamke ndo zikatoa mtoto??ok kama ziliungana na yai la mwanamke kwa nn useme akikuzalia mtoto hata kumnyonyesha umlipe?wakati yule mtoto ni wa kwenu wote...Ujue mda mwingine mkiwa mnongea vitu muwe mnachanganua mambo na c kuongea tuu nonesense...Mke ni kama pambo katika nyumba na si halali hata kkupikia wew wala kkufulia ni mpka atake na wala halazimishwi kuyafanya hayo mke jukum lake katika nyumba nikkuzalia watt tu bac na akisha zaa hata kumnyonyesha mwanao unatakiwa umlipe halazumishwi cyo unafokafoka tu hapa eti unataka mwanamke mwenye kazi ndo nyie wote mnao taka kulelewa na wanawake
Post sent using JamiiForums mobile app
Njoo kwangu mm napenda wasio na kazi ili aingalie familia yangu vizuri na majukumu ya umama yafanyike kikamilifu[emoji46] eeh M/Mungu nijaalie nipate kazi mm mambo gani haya sasa