Kijana ushe2
Senior Member
- Apr 6, 2017
- 176
- 122
Umeniwai mkuuMgeni mbn unatukarbsha wenyeji??
AHSANTEN MKUUU TUPO PAMOJA LKN WATU WANADHANI WOTE TUNA UBASHITENISM KUMBE WENGINE NI TALENTINISM AU WANADHANI NIMEKOSEA NINI HAPO KUJITAMBULISHA NAWAKARIBISHA KIJIJINI HONGWA TUNAHONGA MPAKA WAHONGAJI DUUUH COME ONKaribu sana mkuu.
Kwetu kijijini njooo upate vitu adimu mambo safi lakini usije na mke/mme wako maana huku watu tunapenda RUSHWA kama kijiji kilivyo ukikanyaga tyu tayari we WAHONGWA hata kiCHAWIMgeni mbn unatukarbsha wenyeji??
Una kasi vp ni 4G nini?AHSANTEN MKUUU TUPO PAMOJA LKN WATU WANADHANI WOTE TUNA UBASHITENISM KUMBE WENGINE NI TALENTINISM AU WANADHANI NIMEKOSEA NINI HAPO KUJITAMBULISHA NAWAKARIBISHA KIJIJINI HONGWA TUNAHONGA MPAKA WAHONGAJI DUUUH COME ON
Kasi yaUtaendana na kasinya matukio ya nchi??
Babuuu nakuona katika ubora wakoJina lako lina maana gani wewe kijana