Mimi huyu.....

Mimi huyu.....

Kambaku

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2011
Posts
8,928
Reaction score
33,188
Viongozi salama?

Kwa ruhusa yenu naomba kujiunga katika hii shule zaidi ya shule, nimekuwa mwanafunzi mbaya kwa muda mrefu maana nimekuwa nafuatilia mijadala mbalimbali ya kuelimisha nikiwa kama visitor tu sasa naomba nami niingie majukwaani.
 
Sasa mbona unaomba ruhusa wakati umeshaingia!... anyway, karibu sana
 
Viongozi salama?

Kwa ruhusa yenu naomba kujiunga katika hii shule zaidi ya shule, nimekuwa mwanafunzi mbaya kwa muda mrefu maana nimekuwa nafuatilia mijadala mbalimbali ya kuelimisha nikiwa kama visitor tu sasa naomba nami niingie majukwaani.
hilo jina lako... Dume ka ng'ombe...karibu
 
Viongozi salama?

Kwa ruhusa yenu naomba kujiunga katika hii shule zaidi ya shule, nimekuwa mwanafunzi mbaya kwa muda mrefu maana nimekuwa nafuatilia mijadala mbalimbali ya kuelimisha nikiwa kama visitor tu sasa naomba nami niingie majukwaani.
Poa,avatar yako mkuu..........
 
Back
Top Bottom