GE2025 Mimi hadi sasa sielewi CCM wanashindana na Chama gani?

GE2025 Mimi hadi sasa sielewi CCM wanashindana na Chama gani?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nyie si mlisema manoo noo yenu hayo?
Sasa mnawashwa washwa na nini?
Kwani vyama vingne havijasajiliwa kiasi kwamba chadomo tu ndo imesajiliwa? Achen kujipa haki ya kujiona kuwa nyie ndo bora kuliko wengne..
Nyie tulieni ma reforms yakifanyika mtashiriki kama wengne
 
Back
Top Bottom