Mimi Deogratius . N. Kisandu nimechoka kupotoshewa kila jambo, sasa naweka wazi

Kwa mujibu wa documents zake yeye ni mwalimu wa special needs
So na yeye inawezekana ni mmojawapo
 
Sidhani kama kuna anayemsumbua maana anayoyaandika mara nyingi hayaingii akilini. Kwa mfano aliwahi kuandika humu kuna watu Dar hawataki aingie jiji la maraha hivyo wamejenga matuta kuzunguka Dar ili asiingie lakini yeye akadai Dar lazima azuke tu.
Hahahahahahah
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi huyu mtu ana akili timamu kweli?! Au anatafuta kiki kwa kujifanya amechanganyikiwa ilihali ni mzima kabisa
 
Back
Top Bottom