Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,079
- 8,219
Huwa nainjoi sana posts za Kisandu and kuna jamaa mwingine anaitwa Pdidy, hawa watu ni wanaume machines kwelikweliHahahahaaaaa brother Kisandu kumbe upo?
Kitambo sana sijaona thread zako.
Unaleta burudani sana we jamaa.
Hivi imeshindikana kabisa kupata mtaalamu wa saikolojia amtibu huyu member mwenzetu jamani?
Sent using Jamii Forums mobile app