Mimi Deogratius . N. Kisandu nimechoka kupotoshewa kila jambo, sasa naweka wazi

Mkuu hizo barua ulikua unaweka Lamination? Maana kitambo sana!
Hafu niliona Fb umesema Magufuli kakuibia jina lako pia ulitakiwa ww ndio upitishwe kuhombea uraisi ila wakakuteka wakampitisha magufuli vp kesi yako hiyo imeishia wap?
 
Deo (Deogratius Kisandu) ni mtaalam sana wa kujenga hoja na kesi (case). Huyu jamaa ni lulu kwa taifa na angekua na mchango mkubwa sana kama angetumika. Hebu angalia mashtaka yote hayo...
 
Matatizo yote hayo kwasababu jina lako la kuzaliwa ni MASHAKA
 
Back
Top Bottom