Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

HII NI FUNGA KAZI YA MWAKA KWA WAMAMA.

HII UNASHIKA MIMBA HATA KABLA YA KUVUA👙🩲

NI POA KWA WALE AMBAO WAMEACHA DAWA ZA UZAZI NA WANATAKA KUBEBA MIMBA. SAFISHA KIZAZI NA DAMU.

UTAPATA MTOTO ALIYEKUZIDI AKILI ILA SIO MIMI. INAITWA COMBO MIX BY YAS🫵

WEWE TUMIA MIMI SITAKI PESA YAKO🙅 NITALIPWA NA ULIMWENGU

1.Karafuu
2. Mdalasini
3. Limao
4. Swaumu
5. Pilipili manga
6. Tangawizi

Matumizi
Changanya sehemu Moja, twanga na uloweke kwenye maji ya uvuguvugu Kisha ndani ya saa 12 utapata fusion nzima.

Ukiamka asubuhi glass Moja Kisha jioni pata Tena glass ingine.

Fanya hivyo kwa siku 30.

Na kama upo kwenye ndoa utaipendView attachment 3225450a hiyo
mkuu uongo umeanza lini ,mwanamke anapata mimba kabla ya kuvua pichu🤣🤣🤣
 
Hizi tiba ni nzuri sana.... Ila mngekuwa mnatoa tahadhari kwa wenye shida za moyo, presha za kupanda au kushuka, shida za figo, ini watumie kwa kiwango gani ili kuepuka madhara zaidi.... 😍
 
Hizi tiba ni nzuri sana.... Ila mngekuwa mnatoa tahadhari kwa wenye shida za moyo, presha za kupanda au kushuka, shida za figo, ini watumie kwa kiwango gani ili kuepuka madhara zaidi.... 😍
Naam tahadhar hua natoa na viwango hua natoa pia,ila Kuna darasa la masomo haya zaidi uko jijini Whatsapp
 
HUU MMEA WENGI HUITA NYASI/GOOSE GRASS

KUNA SEHEMU NJE NA TANZANIA KILO MOJA HUUZWA SI CHINI YA MILION 7 NA KUENDELEA

HII NI TIBA MAARUFU NA NZURI YA MAGONJWA YA FIGO

TUZIJUE DALILI ZA AWALI ZA MAGONJWA YA FIGO

🌹Kupungua kiwango au kutopata haja ndogo
🌹Damu kwenye haja ndogo(hapa sio lazima uone rangi nyekundu mkojo unaweza kuwa na rangi ya chai au coca cola)
🌹Miwasho
🌹Kuchoka
🌹Kuvimba sehemu za mwili kama uso,miguu nk
🌹Kupungua uzito

Watu wengi wanaokufa kwa magonjwa ya figo ni kwasababu wanaenda hospitali katika hatua za mwisho kabisa za ugonjwa ambazo gharama za matibabu huwa ni kubwa kama kusafishwa damu, au kupandikizwa figo lakini unapong'amua dalili hizi na kuamua kwenda kufanyiwa vipimo basi unaweza kuokoa uhai wako kwa gharama nafuu zaidi na hata Bure kabisa maana huo Mmea nilioutaja ni msaada kwa Magonjwa ya Figo

Tumia huu mmea Kwa matokea mazuri pia ni Dawa ya Maumivu, uvimbe katika ovari, hukinga saratani za aina zote , kutoa sumu mwilini ndani ya wiki 3 tu...

MATUMIZI
CHUKIA MMEA WOTE OSHA KISHA CHEMSHA KWA DK 15 ,OPOA KUNYWA IKIWA YA UVUGUVUGU KIKOMBE KIMOJA MARAView attachment 3225442 MBILI KWA SIKU
Huu mmea tulikua tunachukua vichwa vyake tunaviingiza vinashikana alafu tunavifanyisha mchezo mbaya tunavipigishs mauno balaa, kumbe tunachezea dawa 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom