Hiyo Movie inaitwa "Pans Labyrinth!" Ukimaliza ulete feedbacks...:redface:Aaah kumbe...!! Ulikuwa huko eeh.. Hebu nipe link ya hiyo movie
Kuna wakati si lazima uchangie kuonyesha unajua huu ni Upuuzi mtupu.. Kama hujui ficha upumbavu wako kwa kukaa kimya
Hiyo Movie inaitwa "Pans Labyrinth!" Ukimaliza ulete feedbacks...:redface:
NB
Usibonge kambla haujajipanga!!!
Unaonaje ukieneza injili kua yesu ni bwana na mwokozi wa huu ulimwengu instead of kutangaza kazi za shetani? Wewe ni mkristo na tumepewa agizo la kupeleka injili pote duniani. Please tafakari zaidi. Isije kua unatumiwa bila kujijua.
Siamini mambo ya kichawi sawa bali uchawi uko..Hiyo picha ni drawing kama ni real tuma nyingine tena video..Hivi huku JF hamna wachawi waje wadhibitishe hii kitu ni kweli huko kwao Gambosh wanalima au wanafanyia biashara..Kwasababu mimi siamini hata kidogo:hand:Usiongelee movie ongea kitu halisi, mimi si mtu wa Vitu vya kufikirika na kusadikika hii ndio tofauti yangu kati ya mimi na wewe
Siamini mambo ya kichawi sawa bali uchawi uko..Hiyo picha ni drawing kama ni real tuma nyingine tena video..Hivi huku JF hamna wachawi waje wadhibitishe hii kitu ni kweli huko kwao Gambosh wanalima au wanafanyia biashara..Kwasababu mimi siamini hata kidogo:hand:
Tunayoyajua ni machache kuliko tusioyajua,Mshana endelea afu usisahau kunitag kwa threads zako ili nijifunze zaidi,
Naomba ufunguke zaidi kuhusu mmea huu na pia Unitas Kwayu post zako
OK karibu sana@mshana jr nina kitu ningependa kujua kutoka kwako kuhusu habari hizi, nikikaa sawa nitaanzisha thred nita kutag. Maana kuna somo natakiwa kulitoa mahali sa kwa mawili matatu kutoka kwako sitakosa cha kuongezea kila la heri.