Mimea hatari ya kichawi


 
MziziMkavu Kaka nina ombi moja kwako huko uliko fanya uwezavyo tuupate huu mmea utatusaidia sana sana mandrake-tree-of-knowledge.html
 
Last edited by a moderator:
Very interesting,
Nataka niujue zaidi na kuufanyia kazi,
Ni mmea muhimu sana sasa sijui kama bongo upo ama vipi.

Aisee hapana haupo unapatikana central America na ukanda wa Mediterranean... Ila una masharti kibao ngoja nitaweka screen shot nyingine hapa
 
Hehehe wajinga wataliwa hadi kesho.

Hii sio mimea halisi maana ni objects tu zilichongwa zionekane kama mimea zimetumika kwenye movie za harry potter, leo hii mtu anakuja kudanganya wengine kua ni mimea ipo na mbwigaz wamekaa wanaamini, hehehe! Ogopa internet, vilaza wengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…