Mimba zinatoka tu msaada pls?!

Mimba zinatoka tu msaada pls?!

Mributz

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
253
Reaction score
627
Mimi na mke wangu tuna mtoto mmoja ambae tulimpata 2020

Ilaa baada ya kujifungua tu ndani ya 1 month akapata mimba nyingine nkamwambia toa coz hali ya maisha sio nzuri.ikapita miaka sasa nahaja ya mtoto ....... Mimba anashika ila zinaharibika
Yani hii ya pili sasa inaharibika

N:B ipo hivi mimba anashika ikifika miezi miwil anatokwa na damu tu
Conclusion:
Msaada wa maswala ya uzazi jaman nifanyeje ...
 
Pole sana, hii ungeiweka kule jukwaa la Afya halafu uitolee maelezo vizuri Madaktari wa JF wakupe muongozo ila kwa haraka haraka hilo suala linahitaji mtaalamu wa masuala ya Afya ya uzazi apewe maelezo vizuri aone nini tatizo na namna gani anaweza kumsaidia mgonjwa,

Ukirudi upande wetu huu wa mitishamba, utamaduni na mila zetu utaambiwa wahi mizizi na majani ya mti wa mbaazi chukua majani 7 ya mbaazi, chukua majani 7 ya mmea wa kisamvu, maji ya mito 7 inayoingia baharini au maji ya visima 7, changanyia na majani ya mvumbasi, twaanga kwenye kinu usiku wa maanane kwenye njia panda kinu kisikike mpaka mtaa wa 7, chemsha changanya pamoja mpe anywe sio mtaalamu ila nimesema wanavyosemaga atapona
Dogoli kinyamkela ataelezea mwenyewe mnafanyaje hapo huko kwenu kwa Wandengereko
 
Tatizo dogo Sana Hilo mimba 2 Tu usilichukulie kwa uzito litampa mkeo stress uzalishe Tatizo lingine la hormonal imbalance!
Usiwaze Sana kuhusu Kiumbe mlichokitoa utawapa ulaji kina mwamposa,ombeni toba kwa Mungu then tafuta madktari bingwa wa magonjwa ya wanawake wamfanyie vipimo wajue shida ni Nini na inatatulikaje!
Nb:Siku nyingine mkeo akijifungua mngojee hata siku 40 zipite ndo muanze kunjunjana,Sasa mwezi tu mmeshaanza na mimba juu!
 
Mimi na mke wangu tuna mtoto mmoja ambae tulimpata 2020

Ilaa baada ya kujifungua tu ndani ya 1 month akapata mimba nyingine nkamwambia toa coz hali ya maisha sio nzuri.ikapita miaka sasa nahaja ya mtoto ....... Mimba anashika ila zinaharibika
Yani hii ya pili sasa inaharibika

N:B ipo hivi mimba anashika ikifika miezi miwil anatokwa na damu tu
Conclusion:
Msaada wa maswala ya uzazi jaman nifanyeje ...
Unakifua kaka?

Kama unacho nichek pm
Stak usnitch Tu.
 
Pole sana, hii ungeiweka kule jukwaa la Afya halafu uitolee maelezo vizuri Madaktari wa JF wakupe muongozo ila kwa haraka haraka hilo suala linahitaji mtaalamu wa masuala ya Afya ya uzazi apewe maelezo vizuri aone nini tatizo na namna gani anaweza kumsaidia mgonjwa,

Ukirudi upande wetu huu wa mitishamba, utamaduni na mila zetu utaambiwa wahi mizizi na majani ya mti wa mbaazi chukua majani 7 ya mbaazi, chukua majani 7 ya mmea wa kisamvu, maji ya mito 7 inayoingia baharini au maji ya visima 7, changanyia na majani ya mvumbasi, twaanga kwenye kinu usiku wa maanane kwenye njia panda kinu kisikike mpaka mtaa wa 7, chemsha changanya pamoja mpe anywe sio mtaalamu ila nimesema wanavyosemaga atapona
Dogoli kinyamkela ataelezea mwenyewe mnafanyaje hapo huko kwenu kwa Wandengereko
Mmmh hayo maji ya mito 7 sasa anayapataje si mtihani mgumu,na huko kutwanga njia panda si mtihani mwingine pia
 
huko nyuma hujawahii toa sana mimbaaa

ama hujawahii wabania sana na vile visiting vyaoo

haya madubwasha yanatesa wengi sana hasa kwenye ndoaa Mungu atusaidie

Kingine chuki na husdaaa wengi wanapoingia kwenye ndoa unakuta wameumiza wenzao huko nyuma mmoja akaamua tu huyu hatozaa AKA kufungwa kizazi kichawi

mwamini Mungu anaweza ..

1.IMBA REHEMA NA TOBA KWAMMUNGU KILA ASBH KAMA N MKRISTO SALI ZAB 51 SIKU 90 ASBH UJASHUKA KWENYE KITANDAN CHAKO NA ONGEA NA MUNGU AKUSAMEHE MABAYA MAOVU YOTE ULIYOFABYA KUJUA AMA.KUTOKUJUA
THEN MWOMBE HITAJI LAKO
222.SIKU90 NYINGI UTAPOKEA MUUJIZA WAKO NDUGU

2.panda basi la posta tokea mwenge nenda shuka kituo cha mbuyuni vuka opp ukiza naenda kwa Dk Mgaya

MUngu aliwahi mtumia akanisaidia nkapata watoto watatu mfululizo na dada yangu alikuwa na shida kama yako nae akapewa dawa na ushauri nasal

Akafanikiwa kuzaa tena mapacha....

Mungu akakupe mapacha uzao ujao wakazaliwe bila vipingamizi
 
ANGALIZO

UKIPATA MIMBA ACHANA NA UPENZI WA MIPIRA KABISAAAA UNAWEZA TOKA UKAMSINGIZIA SHETANII. HIZI VITA WAACHIEN WANAUME TU WAZILEE

HAPA KAZI TU
 
Attachments

  • Screenshot_20260213-004746_Chrome.jpg
    Screenshot_20260213-004746_Chrome.jpg
    158.6 KB · Views: 8
  • Screenshot_20260213-005941_Chrome.jpg
    Screenshot_20260213-005941_Chrome.jpg
    149.7 KB · Views: 6
Mimi na mke wangu tuna mtoto mmoja ambae tulimpata 2020

Ilaa baada ya kujifungua tu ndani ya 1 month akapata mimba nyingine nkamwambia toa coz hali ya maisha sio nzuri.ikapita miaka sasa nahaja ya mtoto ....... Mimba anashika ila zinaharibika
Yani hii ya pili sasa inaharibika

N:B ipo hivi mimba anashika ikifika miezi miwil anatokwa na damu tu
Conclusion:
Msaada wa maswala ya uzazi jaman nifanyeje ...
Blighted ovum due to chromosomal abnomality
 
Ilaa baada ya kujifungua tu ndani ya 1 month akapata mimba nyingine nkamwambia toa coz hali ya maisha sio nzuri.
1 month tokea mwanamke ajifungue anashika mimba?

Unamaanisha ulimuacha tusiku kadhaa tu baada ya kujifungua, ukaanza kumkunja?
 
Back
Top Bottom