Ramp Agent
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 272
- 194
Na mwenye ufahamu na haelewe nimekupata vilivyo mkuu big upMeditation isipochanganywa na imani yoyote ni kitu kizuri mno lakini bahati mbaya sana ni ngumu kwahiyo kwa sehemu kubwa imani zinazopingana na uwepo wa Mungu hutumia sana meditation kama kichaka cha kuficha uhalisia wao
Mshana nakuelewa sana bro ......... Napenda sana post zakoJihadhari za mimba na mimba za kutafuta kwa manabii na waganga wa kienyeji.
Jaribu kufuatilia hizo mimba mpaka mwisho wake au kama watoto walizaliwa salama na kama wako hai mpaka leo hii na kama tabia zao ni za kawaida
Nimeshuhudia mara nyingi matangazo kwenye tv magazeti na radii hao wanaojiita manabii mitume na waganga wakijinasibu kuwa wamewasaidia akina mama wengi kupata ujauzito na hatimaye kujifungua watoto.
Lakini kamwe hatujawahi kuletewa mrejesho wa wale watoto maendeleo yao....kiukweli ni kwamba wengi walikufa au kupotea katika mazingira ya ajabu mno..hawa si watoto halisi.
Kujiepusha na maumivu haya nendeni hospital kapimeni wote ijulikane tatizo liko wapi au tatizo ni la nani halafu tiba yake ninini! Kama hakuna shida kila kitu kiko sawa lakini mimba hazishiki mwombeni Mungu atawajaalia mtoto wa haki...!
Msijaribu kwingineko haitawalipa.
Sasa apo nieleweshe vizur inakuwaje mtu anasema kwajina la yesu na kuombea kumbe anatumia jiniAkhsante mkuu
Unayosema ni mambo makubwa sana na jamii inaangamia pasipo kujua kwamba milki za giza zipo kazini, watazameni kwa macho mawili watoto wanaozaliwa na miujiza......nasisitiza watazameni na ukuaji wao!
Nikirudi kwa viongozi wa dini wanaopotosha kama ulivyoeleza...ni hakika.....kipindi kirefu kilichopita walinitembelea viongozi fulani wa dini fulani na kuniambia kuwa ili waaminike katika ibada inatakiwa kipawa hivyo niwasaidie.
Niliingia kwa wakuu na nifanya maagano kwa niaba ya viongozi wale wa dini na nikawapatia jinn mmoja wa kuogofya na mwenye nguvu na ubabe hata kwa majini wenzake, nikawapatia watu wale na kwenda kuongoza ibada kama kawaida......ila kila walipokuwa wakiombea watu jinn yule ndiye aliyekuwa akijibu maombi na sio Mungu.
KIVIPI?
Wenye mapepo walianguka wenyewe kwa kumuogopa jinn yule wa kifalme, vifungo vya kichawi alivifungua yeye, majini wabaya wa waumini walikimbia wenyewe kwa kumuogopa huyo bwana na nyumba ya ibada ikasifika kiasi kwamba wale viongozi wakanawiri.
Je, ni haki? Mungu anapenda kuona nafasi yake inafanyiwa dhihaka?
Niishie hapa.
Kumchinja kobe kunataka timing...bila zuga ya kulitaja jina la Yesu huwezi kufanya haya mambo peupeSasa apo nieleweshe vizur inakuwaje mtu anasema kwajina la yesu na kuombea kumbe anatumia jini
Uku navojua mapepo na ata ibilisi akitajiwa jina la yesu anashindwa kuzur.
Duh wewe jichawi ni kivumbiMada namna hii ni nzuri maana naishi ndani ya yanazungumzwa na nayajua......binafsi kuna dada mmoja wa miaka kama 37 hivi ambae hakuwahi kushika mimba tangu kuvunja ungo kwake.
Alinifuata kuhitaji msaada wangu maana ameshapoteza matumaini na tiba za kizungu hazionyeshi manufaa kwake, nikafanya nnachokijua akashika mimba na kujifungua (japo alijifungua kwa tabu mpaka nikatuma nguvu za ziada)
Jana amenitembelea akiwa na furaha kuu na yeye kuwa na mtoto na alikuwa mtoto ameshafikisha siku arobaini.
Narudi kwenye mada.....nayajua maagano yake na roho zinazomuandama yule mtoto na mama......najua anahitaji ukaribu na mimi ili mambo yaendelee kuwa sawa......najua pindi mambo akiyaacha njiani kwa kunidharau kisa katimiza lengo lake nini kitampata......nk nk
Jichawi ni njni ushauri wako katika hili? Tufanyeje? It is becoming complicated really. Je tusali vipi na wapi?Akhsante mkuu
Unayosema ni mambo makubwa sana na jamii inaangamia pasipo kujua kwamba milki za giza zipo kazini, watazameni kwa macho mawili watoto wanaozaliwa na miujiza......nasisitiza watazameni na ukuaji wao!
Nikirudi kwa viongozi wa dini wanaopotosha kama ulivyoeleza...ni hakika.....kipindi kirefu kilichopita walinitembelea viongozi fulani wa dini fulani na kuniambia kuwa ili waaminike katika ibada inatakiwa kipawa hivyo niwasaidie.
Niliingia kwa wakuu na nifanya maagano kwa niaba ya viongozi wale wa dini na nikawapatia jinn mmoja wa kuogofya na mwenye nguvu na ubabe hata kwa majini wenzake, nikawapatia watu wale na kwenda kuongoza ibada kama kawaida......ila kila walipokuwa wakiombea watu jinn yule ndiye aliyekuwa akijibu maombi na sio Mungu.
KIVIPI?
Wenye mapepo walianguka wenyewe kwa kumuogopa jinn yule wa kifalme, vifungo vya kichawi alivifungua yeye, majini wabaya wa waumini walikimbia wenyewe kwa kumuogopa huyo bwana na nyumba ya ibada ikasifika kiasi kwamba wale viongozi wakanawiri.
Je, ni haki? Mungu anapenda kuona nafasi yake inafanyiwa dhihaka?
Niishie hapa.
Mshana. Tufanyeje sasa? Kule roman catholic tunaambiwa hawaneni kwa neno hivyo hawawezi kupambana na nguvu za giza. Hawa kina gwajima dizaini ndo mnasema hivyo. Tusalije na wapi sasa? Au chumbani tu peke yangu ndio mpango mzima?Na ndio maana tuliaswa kwa uwazi kabisa kuhusu manabii wa siku za mwisho kuwa watakuwa na uwezo hata wa kuhamisha milima na kufufua watu lakini .TUSIWAAMINI HAO.
Kaka umenichekesha mpaka basi.Mkuu Mshana leta vyombo baba maana ni bora wewe unaeeleza kuwa kuna tatizo.....kuliko mkuu wa dini anaesema hakuna tatizo na mtu umetakaswa wakati ukijiangalia matatizo unayaona
Simama na Mungu wako tuu mengine yooooote ni figisu figisu tuuMshana. Tufanyeje sasa? Kule roman catholic tunaambiwa hawaneni kwa neno hivyo hawawezi kupambana na nguvu za giza. Hawa kina gwajima dizaini ndo mnasema hivyo. Tusalije na wapi sasa? Au chumbani tu peke yangu ndio mpango mzima?
Thanks mshanaSimama na Mungu wako tuu mengine yooooote ni figisu figisu tuu
Asante kwa some hili, nimejifunza mengi sana mkuuJihadhari za mimba na mimba za kutafuta kwa manabii na waganga wa kienyeji.
Jaribu kufuatilia hizo mimba mpaka mwisho wake au kama watoto walizaliwa salama na kama wako hai mpaka leo hii na kama tabia zao ni za kawaida
Nimeshuhudia mara nyingi matangazo kwenye tv magazeti na radii hao wanaojiita manabii mitume na waganga wakijinasibu kuwa wamewasaidia akina mama wengi kupata ujauzito na hatimaye kujifungua watoto.
Lakini kamwe hatujawahi kuletewa mrejesho wa wale watoto maendeleo yao....kiukweli ni kwamba wengi walikufa au kupotea katika mazingira ya ajabu mno..hawa si watoto halisi.
Kujiepusha na maumivu haya nendeni hospital kapimeni wote ijulikane tatizo liko wapi au tatizo ni la nani halafu tiba yake ninini! Kama hakuna shida kila kitu kiko sawa lakini mimba hazishiki mwombeni Mungu atawajaalia mtoto wa haki...!
Msijaribu kwingineko haitawalipa.
Mada namna hii ni nzuri maana naishi ndani ya yanazungumzwa na nayajua......binafsi kuna dada mmoja wa miaka kama 37 hivi ambae hakuwahi kushika mimba tangu kuvunja ungo kwake.
Alinifuata kuhitaji msaada wangu maana ameshapoteza matumaini na tiba za kizungu hazionyeshi manufaa kwake, nikafanya nnachokijua akashika mimba na kujifungua (japo alijifungua kwa tabu mpaka nikatuma nguvu za ziada)
Jana amenitembelea akiwa na furaha kuu na yeye kuwa na mtoto na alikuwa mtoto ameshafikisha siku arobaini.
Narudi kwenye mada.....nayajua maagano yake na roho zinazomuandama yule mtoto na mama......najua anahitaji ukaribu na mimi ili mambo yaendelee kuwa sawa......najua pindi mambo akiyaacha njiani kwa kunidharau kisa katimiza lengo lake nini kitampata......nk nk
Swala la kuumba ni uwezo wa Kimungu na hapa hakuna sehemu yeyote palipoandikwa anaumba, kuwa makini hapa unazungumza na watu wenye fani zao kama ilivyo fani nyingine, ukiniambia kwenye injini ya ndege kuna kitu chaitwa jina fulani siwezi kukubishia maana sina elimu hiyo, hivyo naweza tu kukuuliza na sio kubisha kwamba hakipo wakati sijawahi shika hata spana.Sheitwani hajui kuumba kabisa,hapa naona kina SINUNA.com.....