VERITE-NUE JF-Expert Member Joined Jan 28, 2019 Posts 1,489 Reaction score 1,466 Jul 9, 2025 #1 Eti kabla ya kwenda jela miaka 30,kisa kummimbisha mwanafunzi,unatakiwa ukumbuke haya: -kila mimba,ni ya mwanaume. -Lakini kila mtoto akizaliwa,ni wa mwanamke.
Eti kabla ya kwenda jela miaka 30,kisa kummimbisha mwanafunzi,unatakiwa ukumbuke haya: -kila mimba,ni ya mwanaume. -Lakini kila mtoto akizaliwa,ni wa mwanamke.