Mimba ya kwanza inanitesa bila soda hatulali

Mimba ya kwanza inanitesa bila soda hatulali

Kuna rafiki yangu mmoja aliniambia ukiwa kijana unakuwa na 'matatizo'. Umri ukisogea unakuwa na 'changamoto'.
Pole kwa matatizo kijana
 
Umeona eeh.....
Nilikuwa nanunua kaboksi kanakaa ndani kabisa, jioni nikifika tu redbull, huku mchana nimeshinda nalamba ice cream tuuuu, sometimes mimba ni shida na inabidi uvumilie tu

Hiyo Mimba Inaghalama Ndogo Sana Watu Wanataka Ledbull 4 Kila Siku.
 
Labda hamudu soda. Unajua soda nne kwa siku ni 700x 4? Halafu piga kwa mwezi. Kama ni mwanafunzi hiyo inaweza kuwa shida kidogo.
Afadhali ye mimba yake inahitaji unavyoweza kuvimudu. Wengine mimba huwa zinawachukia wenzi wao!! Yaani hatamani hata kukuona usoni!
 
kumbe anaendana na wangu nae bila pepsi nne kwa siku sio yeye. kuna day nikanunua kreti but hazikumaliza masaa 24 kwishaaa so sa izi nikasema umezidi zisije leta madhara nikakata huduma sasa ndo anajinunulia atakavyo muda mwingine napiga mwnyewe bila ruksa.mbaya zaid anakunywa zinazoelekea kuganda ila nashukuru kuna wadau wamesema hazina madhara. misosi anapenda isiyo n garama ndiz choma mihogo ugali dagaa etc jpo kuna kipnd mpk nikasem sirudii maana kila ck presha hosp mpk icu
 
Fanya booking kabisa, kila siku gari la Coca cola liwe linapita hapo nyumbani
 
mimi nilikuwa naombwa pilipili za kukaangwa na juice ya parachichi baridi pilipili haikuwa shida kukaangwa ila parachichi ndo ilikuwa shida, toa huduma tu kaka
 
ngoja natarajia kubeba soon
ngoja nichague kati ya redbull au bavaria

haahaha hapo unakura tu hamu imekushika wala sio mimba
Eeh Mola nijalie
 
kumbe anaendana na wangu nae bila pepsi nne kwa siku sio yeye. kuna day nikanunua kreti but hazikumaliza masaa 24 kwishaaa so sa izi nikasema umezidi zisije leta madhara nikakata huduma sasa ndo anajinunulia atakavyo muda mwingine napiga mwnyewe bila ruksa.mbaya zaid anakunywa zinazoelekea kuganda ila nashukuru kuna wadau wamesema hazina madhara. misosi anapenda isiyo n garama ndiz choma mihogo ugali dagaa etc jpo kuna kipnd mpk nikasem sirudii maana kila ck presha hosp mpk icu
Ni risk kwa meno kutoboka
 
ahsante kwa ushaur ila yaani kwa ubishi ni namba moja hatashauriki
Mtembeleeni dentist kumtaka ushauri juu ya hilo, au atumie soda zenye sweetener badala ya zenye sukari.
 
.......Huyo soda tu mbona nafuu!! Mie nilikuwa nataka kuku wa kienyeji mchemsho kila siku na soda ya fanta ndio maji.

Huwa nikikumbuka nacheka sana, we vumilia......akishusha tu hata tamani hiyo coke. Ni hormones za mimba hizo.
 
Mimi nlianza kwenye ukwaju mara sausage nkaishia kwenye miwa,nilikuwa naenda stand za daladala nanunua miwa ya buku na nilikuwa sipendi kuombwa,mzigo ulivyoshuka hata miwa sikuitaka tena
 
Mimba ya kimakosa aiseee yaleta tafrani
 
Back
Top Bottom