Mimba ya kwanza inanitesa bila soda hatulali

Bora huyo anapenda mahindi hawa wetu wa dar wanapenda baga hatari na chipsi za kwa bonge kona bar..ni sheeedaaah
 
Kama ulikuwa unataka tustick to the point, kulikuwa na haja gani ya kutuambia mambo ya bahati mbaya?!?
 
Kiwango kikubwa cha soda kwa mjamzito siyo salama..kuna ugonjwa unaitwa kisukari unaweza ukampata atakapokua karibu kabisa au wakati wa kujifungua.
 
Mimi nlianza kwenye ukwaju mara sausage nkaishia kwenye miwa,nilikuwa naenda stand za daladala nanunua miwa ya buku na nilikuwa sipendi kuombwa,mzigo ulivyoshuka hata miwa sikuitaka tena

Hivi huu uchoyo unatokaga wapi manake mi mwenyewe sitaki Mtu aniombe chochote yaani nikila kitu Mtu akaomba mood inabadilika kabisa
 
You serious??
 
Seriously

Kuna watu huwa wanapenda kudoea yan badala wakuletee wenyewe wanasubr ukanunue alafu wao waombe me walikuwa wanankera acha 2
 
Back
Top Bottom