Mimba ya kwanza inanitesa bila soda hatulali

Mimba ya kwanza inanitesa bila soda hatulali

appoh

Sijaelewa ulipoandika: stick to the point, MTI wng huyu ni mjamzito.
Ulifanya ngono zembe na MTI..??
 
Last edited by a moderator:
Cha ajabu nini apo?mpe kitu roho yake inapenda atakavyo kama wee ulivyokuwa unapewa vign utakavyo...!
 
hakuna aliposema ila kuna mtu alishauri akasema kuwa anunue kokakola nyingi aziweke kwenye friji

Mimba ya kwanza nilikuwa nakunywa Pepsi tatu mpk tano Kwa siku plus kutafuna mabarafu hakuna madhara aliyoyapata MTT alipozaliwa
 
Hamu ya muda,baada ya muda fulan hatadai soda,kuna mmoja alikuwa anapenda bagia halafu anaenda kuzila chooni ndo anajisikia raha
 
Unaonekana bahili subiri akitaka firigisi tuuuu! Utamkimbia najua
 
Sasa mbona uhusiano tayari ni rasmi....Refer sheria za ndoa
 
appoh

Ni suala la wakati tu mdogo wangu. Ukikua utajua. Ipo fikra kwamba hizi mimba za wenza wetu zinaendana na vitu fulani fulani ambavyo mmimbishwaji huvipenda au kuvichukia. Hapa ndipo matatizo yanapotokea kama wewe mmimbishaji yanavyokutokea haya ya soda nne. Kama ishu ya soda inakuwa ngumu hivi kikizaliwa kiumbe itakuwaje mdogo wangu.

Hapa ndo wakati mzuri wa kutoa funzo kwa wamimbishaji wote watarajiwa kwamba suala la kuamua kuwa na familia kwa maana ya watoto lahitaji maandalizi ya mama na mtoto mtarajiwa. Endelea kumpa tu hizo soda though watakiwa kumuona mtaalamu wa afya kuona kama soda hizo zikitumika kwa wingi zinaweza kuwa na madhara au la

The Listener
Ex Detective
 
Last edited by a moderator:
Hiyo Mimba Inaghalama Ndogo Sana Watu Wanataka Ledbull 4 Kila Siku.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Mbaya zaid usiku wa manane anadai soda
 
Habarini za asubuhi wakuu,

Nipo kwenye mahusiano japo sio rasmi kwa maana si mke wala mchumba, hii ilikuja baada ya kupatikana kwa ujauzito kimakosa baada ya kujisahau kumwagia nje. Stick to the point mti wangu huyu ni mjamzito.

Ujauzito huo umekua kero kwa maana nyingine kwa maana bila soda aina ya Cocacola ndani hakuna amani soda hizi kati ya tatu ama nne kwa siku moja mbaya zaidi hadi usiku wa manane unaamshwa mtu anataka soda.

Hivi ni halali haya mambo

Soda siyo ishu. Wangu hana mimba lakini kila siku halali bila kunywa bia 6. Kumbe tunatofautiana..
 
Mamndenyi sometimes mimba ni majaribu, nakumbuka ujauzito wa mtoto wangu, ilikuwa lazima kila siku ninywe redbull moja na ice cream na hapo kabla sikuwa mnywaji wa redbull hata kidogo lakini wakati wa ujauzito lazima mchana nipate ice cream hizi za azam na jioni ninywe redbull ndio nitalala na kusikia amani moyoni, chakumshukuru Mungu sikupata pressure wala tatizo lolote kutokana na kunywa redbull na kula ice ream sana na mtoto nilijifungua salama salimini akiwa mzima mwenye afya njema now ana miaka 6

Soda zenyewe ni sumu;
Atakuja kumpa mtoto atakayezaliwa shida tu;
Mshauri apunguze au aache kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Kuna dawa flan ambazo hua znatoa io hali ila nimezisahau jina wataalam wa mambo watakuja kusema!!
 
Back
Top Bottom