MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,070
ngoja natarajia kubeba soon
ngoja nichague kati ya redbull au bavaria
haahaha hapo unakura tu hamu imekushika wala sio mimba
Eeh Mola nijalie
hahaaaaaa mweee kila la kher best
ngoja natarajia kubeba soon
ngoja nichague kati ya redbull au bavaria
haahaha hapo unakura tu hamu imekushika wala sio mimba
Eeh Mola nijalie
ahsante kwa ushaur ila yaani kwa ubishi ni namba moja hatashauriki
bora upate anayependa kula udongo...yaani asubuhi unamwachia tu matofari mawili jioni unakuta kabakiza nusu saaaafi.. hakuna gharama.
Du...hayo matofari nayo siyanatengenezwa kwa gharama....bora upate anayekula hewa...
Hiyo ni hatari kwa mjamzito kunywa vitu vya baridi anaweza kusababisha mtoto kupana nyumonia
Soda ni sumu na zitamdhuru mtoto!
Mimba ya kwanza nilikuwa nakunywa Pepsi tatu mpk tano Kwa siku plus kutafuna mabarafu hakuna madhara aliyoyapata MTT alipozaliwa
Mbaya zaid usiku wa manane anadai soda
kumbe anaendana na wangu nae bila pepsi nne kwa siku sio yeye. kuna day nikanunua kreti but hazikumaliza masaa 24 kwishaaa so sa izi nikasema umezidi zisije leta madhara nikakata huduma sasa ndo anajinunulia atakavyo muda mwingine napiga mwnyewe bila ruksa.mbaya zaid anakunywa zinazoelekea kuganda ila nashukuru kuna wadau wamesema hazina madhara. misosi anapenda isiyo n garama ndiz choma mihogo ugali dagaa etc jpo kuna kipnd mpk nikasem sirudii maana kila ck presha hosp mpk icu
Hiyo Mimba Inaghalama Ndogo Sana Watu Wanataka Ledbull 4 Kila Siku.
Soda tu unalalamika, je mimba ingetaka savannah si ungemkimbia? Nunua creti la soda muwekee hapo, likiisha unaleta lingine....
appoh
jirani yangu mkewe alikuwa anapenda vitu vya moto mtoto kapata old-monia
Zinazoelekea kuganda?
Yet wamekudanganya hazina madhara?
Muulize gyno atakwambia
teh teh umeongea uhalisia kabisa yanMie sista bwana alipoolewa shem akaenda kusoma sasa akaja hom ili awe karibu na maangalizi ya mama.
Jamani tulikoma ivyo vitu tulivyokua tunaambiwa tumpe na kupelekeshwa kutumwa.
Yani mtu msiangalie mpira anasema najiskia vibaya. Sasa mpira unahusianaje na mimba eti??
Aya pafyumu ama bodi spray kujipuliziza ni nje yani hataki kuskia harufu. So tukawa tunatembea nazo au tunaweka kwa rafiki jirani.
Yani ni sheedah.
Tumenunua Mahindi ya kuchoma mpaka tulichoka yan afu om na barabarani mbali yani mhindi.akikosekana mnunuaji.unaagiziwa BodaBoda.
Shikamoo.Mimba.
Naombea wangu aakipata awe anapenda ugali.tu tupunguze matumizi