appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,826
- 3,098
Habarini za asubuhi wakuu,
Nipo kwenye mahusiano japo sio rasmi kwa maana si mke wala mchumba, hii ilikuja baada ya kupatikana kwa ujauzito kimakosa baada ya kujisahau kumwagia nje. Stick to the point mtu wangu huyu ni mjamzito.
Ujauzito huo umekua kero kwa maana nyingine kwa maana bila soda aina ya Cocacola ndani hakuna amani soda hizi kati ya tatu ama nne kwa siku moja mbaya zaidi hadi usiku wa manane unaamshwa mtu anataka soda.
Hivi ni halali haya mambo