Mimba miezi 9 week 3 hakuna uchungu nifanyeje

Sikuwa na tatizo lolote nilikuwa mzima tu na sijawahi kuumwa hata siku moja wiki zote 40 na nilijifungua kawaida tu
aSANTE NGOJA NISUBIRI NIMEFANYA MAZOEZI YA KUTEMBEA HADI KM 4 UTRASOUND WALINIAMBIA KABLA YA 24 DEC 2O13 NITAKUWA TAYARI
 
zoezi LOLOTE AU CHAKULA CHA KUNIFANYA NIPATE UCHUNGU TAREHE ZA MAKADIRIO NI 28DECEMBA 2O13 HADI 4JANUARI 2O14 MSAADA WA KWELI ACHA MATUSI

Nenda kwa daktari atakupa vidonge vya uchungu, ila nakushauri uvute subira kidogo hadi hata kuanzia trh 15 Januari
 
Je una uhakika na umri wa ujauzito wako? Kama sivyo kapime ultra sound

Ultrasound haiwezi kumjulisha umri wa mimba. Its too late.

Ultrasound hutumika kati ya wiki ya 8-13 kujua umri wa mimba.

Mimba ikishafika wiki 40, mjamzito anatakiwa kuonwa na mtaalam angalau mara mbili kwa wiki.

Iwapo hataonwa na kupimwa afya yake na mtoto kuna hatari kuwa matokeo hayatakuwa mazuri...
 
Nimesoma comments zote.

Nilichogundua ni kwamba wengi waliochangia hapa (and probably jamii ya watanzania kwa Kiujumla) wanachukulia matatizo ya ujauzito kijuu juu. Hali hii ina uhasiana na vifo vingi vya vichanga na wazazi.

Kupitiliza tarehe ya kujifungua ni kiashiria cha hatari. Ni LAZIMA mjamzito anayejali afya yake, ya mtoto wake na ya familia yake kiujumla afanye jambo sahihi anapoona kiashiria cha hatari.

Katika hali kama hii jambo sahihi ni kufika kwa mtaalam kwa ushauri wa kitaalam.

Tuepuka tabia ya kuchukulia mambo kirahisirahisi kwa sababu kuna taarifa nyingi zinahitajika kabla ya kufanya maamuzi ya ushauri sahihi unaomfaa mjamzito kama huyu.
 
Nenda hospital wakupe ushauri wa kitaalamu ......


Hapa jf unaweza kuambiwa iache zaidi kwani mtoto akiwa tumboni zaidi ya 9months brain inakuwa developd unaweza kuzaa genius km issack Newton ......au ukimwacha zaidi na zaidi anaweza develop some abilities ....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom