Madaktari wanasemaje..?Naombeni ushauri nn nifanye
mke wangu anamimba ya wiki 40 (leo ndo siku yake yamwisho katika hizo wiki 40) ila bado hajajifungua.
tumbo halimuumi . wala hakuna hali yeyeto ya hatari inayomsumbua. mtoto anacheza vizuri kabisa ila sasa wiki zake zamakaridio yakujifungua zimeisha ila bado hajajifungua . nini kifanyike ..? tuendelee kusubiri au tutafute namna zingine mbadala..?
ushauri wenu unahitajika sana
Kama ni mimba yake ya kwanza neenda ukamuona gyonologist wako mapema ila kama ya kwanza kawaida mpaka wiki ya 41Naombeni ushauri nn nifanye
Mke wangu ana mimba ya wiki 40 (leo ndo siku yake ya mwisho katika hizo wiki 40) ila bado hajajifungua.
Tumbo halimuumi wala hakuna hali yoyote ya hatari inayomsumbua.
Mtoto anacheza vizuri kabisa ila sasa wiki zake za makaridio ya kujifungua zimeisha ila bado hajajifungua. Nini kifanyike ..?
Tuendelee kusubiri au tutafute namna zingine mbadala..?
Ushauri wenu unahitajika sana
hii mimba yake yapili. yakwanza alijifungua wiki ya 39Kama ni mimba yake ya kwanza neenda ukamuona gyonologist wako mapema ila kama ya kwanza kawaida mpaka wiki ya 41
siunajua tena preshaIli mtu ajifungue inategemea weeks zinaanzia 36-42 kwahiyo usijali....
Mara nyingi wanajifungua kabla ya tarehe ya matazamio EDD au baada ya tarehe ya matazamio
duuhMwende hospital drip la uchungu linamuhusu na asipopata mabadiliko yoyote Op yamuhusu
madokta kila mtu anasema lake_wengine wanasema tujipe muda kidogo wengine wanasema wamuwekee waji yauchungu yan pasua kichwa tuMadaktari wanasemaje..?
Usijalisiunajua tena presha
kwaio inatakiwa tufanyaje..?Mkizubaa atajifungua mtoto mwenye ndevu tayari
Ceaser inamhusu huyo.kwaio inatakiwa tufanyaje..?
nenda hospitalkwaio inatakiwa tufanyaje..?
Expected Due Date yake ilikuwa ni lini?Naombeni ushauri nn nifanye