MIMBA kwa mwanafunzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MIMBA kwa mwanafunzi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by pilau, Oct 5, 2012.

 1. p

  pilau JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kuna jamaa mmoja alimtia mimba mwanafunzi na maongezi yao yakawa hivi

  MWANAFUNZI:Mimba sitaitoa Dear wangu............. na usijali kuhusu nyumbani kwetu na familia yetu poa tu
  JAMAA:Kwani wazazi wako wanafanya kazi gani?
  MWANAFUNZI:Baba mkuu wa kituo cha polisi, kaka yangu mkubwa Hakimu na Mama yeye ni Mkuu wa Gereza..
  JAMAA:Kimoyomoyo; ........ ???? .....SEGEREA Ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
  !!!
   
 2. cZg

  cZg Member

  #2
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ha ta ri i
   
 3. AKILImuchknow

  AKILImuchknow JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 216
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Duh!..ningekua ni mm ningemwambia we husintanie ichoropoe fasta vinginevyo naikana.
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  binamu yake atakuwa anafanya kazi kwa mkemia mkuu na jirani yao ni forensic investigator mstaafu fbi. Hakawii kupick finger prints kutoka kwa mdada.
   
 5. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #5
  Oct 6, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Hahahahahaha mwanafunzi kaamua tu kumtisha huyo kaka

  Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
   
Loading...