Mimba inanipeleka kubaya

nakushauri endelea hivyo hivyo ili upate ushauri kupitia vitendo vya mumeo.. lazima utajua la kufanya!
 
Upo Vizuri Sana Endelea KUFYATUA......Kama unaoga Mara mbili kwa siku na kubadili nguo basi haupo rough,kupaka mipoda na miwanja Bila mtoko ndio u_rough.
 
hahah sasa msaada gani unaotarajiwa kupewa zaidi ya kuambiwa ujipende, kuna mambo ni obvious , tunashukuru kwa taarifa japo imekosa picha
 
Hivi yule mama mkwe ameshafika au bado? Hv unawezaje kujiweka mchafu mchafu mbele ya mama mkwe au ndo hiyo mimba umepata sababu? Kuwa makini watoto wakitanga wasije wakakupindua
 
Sielewi hata huo msaada wa mawazo unaoutafuta ni wa kitu gani
 
Kama siyo janaume wewe pole mumeo maana inaonekana utakuwa kimeo, kutamka mijineno michafu bila uoga inatosha kuonesha ulivyo mchafu mpaka mdomoni.
Mmmhhh.......salama mkuu!!
 
Lait ungenijua ni nani ungenisumbua, ndio maana naipenda Jf coz inampa mtu uhuru Wa kujieleza lait tungeweka username za ukweli, basi tungeumbuka wengi
Mnafiki huyo achana nae kwani kuna neno gani chafu ulilotamka? Kunyoa vuzi ndio neno chafu? Sijui kama yuko salama huyo....tupa kule asikupe stress endelea na yako mama kijacho weee!
 
Pole shosti, mimi nakumbuka niliamua kunyoa maana kunisuka ulikua mtihani....ila jitahidi ukiona muda anakaribia kurudi jikwatue umridhishe
 

[emoji115]Mambo gani unampa na uchafu wote huo???[emoji17].......Huoni kuwa ni kumtesa kaka yetu?[emoji17]
 
mume wako ndio ana matatizo. kama unaoga, unanyoa, unavaa nguo zilizo safi, nyumba IPO safi, chumbani kumependeza, sioni tatizo hapo, hizo poda waachie machangu..
 
Kawaida ukijifungua utarud kwenye hal yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…