Veronica7598
JF-Expert Member
- Jan 2, 2017
- 361
- 409
Mimba nazo zina mambo mengiHabari za w,keend wana jamvi.
Mm ni msichana wa miaka 26, Tatizo langu Nina ujauzito wa miezi 4, ila nimekua lafu kupitiliza mpaka Mr.ananiambia mbona wajiachia sna tofauti na mimba ya mtoto wetu wa kwanza ulikua unajipenda.
Nabaki kumwambia yatapita tu, lakini mpaka mwenywe naona aibu jinsi nilivyo ovyo ovyo, yaan cjipendi kupita maelezo yaan mume akitoka kazini ananiangalia anatingisha kichwa
Msaada jaman nifanye nn niondokane Na hali hii, mambo mengine shwariiii, mambo nampa mpaka mwenyewe ananiambia inatosha, chumba kisafi yaaan mambo mengine yote gudgud,,
Ila tatizo mie Niko ovyo cjipendi jaman embu mnisaidie nisije tafutiwa mchepuko bureeeee
Tatizo sio kuoga wala kunyoa vuzi, naoga asbh na jioni, tatizo langu cjipendezeshi Kama kuvaa vzr kujikwatua usoni kama wanja poda nk, yaani nipo nipo tu, Na wakt sna ujauzito nilikua n'gali ng'ali yaan alikua ananiita sista du wangu, kwa jinsi ninavyotupia.Akanyoe hayo manywele yake yanakuwaacahfu kila siku na za sehemu nyeti anyoe aoge Mara tatu
Asante ntaufanyia kazi ushauri wakoNunua nguo nzuri pana ambazo hazitakupa uvivu wa kujiweka smart. Nywele weka style nzuri ya muda mrefu ukipenda nyoa afro au suka yebo yebo ndogo ndogo.
Kama siyo janaume wewe pole mumeo maana inaonekana utakuwa kimeo, kutamka mijineno michafu bila uoga inatosha kuonesha ulivyo mchafu mpaka mdomoni.Tatizo sio kuoga wala kunyoa vuzi, naoga asbh na jioni, tatizo langu cjipendezeshi Kama kuvaa vzr kujikwatua usoni kama wanja poda nk, yaani nipo nipo tu, Na wakt sna ujauzito nilikua n'gali ng'ali yaan alikua ananiita sista du wangu, kwa jinsi ninavyotupia.
Alafu hanionei kinyaa but mm mwenyewe ndo naona noma.
Lait ungenijua ni nani ungenisumbua, ndio maana naipenda Jf coz inampa mtu uhuru Wa kujieleza lait tungeweka username za ukweli, basi tungeumbuka wengiKama siyo janaume wewe pole mumeo maana inaonekana utakuwa kimeo, kutamka mijineno michafu bila uoga inatosha kuonesha ulivyo mchafu mpaka mdomoni.
Kuna dada ilikuwa mkitaka mgombane basi mwambie akaoge, mimba bwana.hiyo ni hali tu ya mabadiliko ya mwili humtokea mwanamke yyt kipindi cha mimba
waweza jikuta unakua rough unakua hutamani kujiweka smart uvivu mda wote..
jitahidi kuwa smart kidogo Dada...
mimba zinatofautiana
kwanini?jipende tuHabari za w,keend wana jamvi.