Mimba imeingia majuzi, nifanyaje?

Sikuwah kudhani siku moja nitamruhusu mdada atoe mimba yangu
Mpk pale nilipompa mke wa mtu mimba, alikunywa miso mpk nikakoma .ilikuwa na 1 na siku 5 ila nilipata shida,
Nilitumia njia ya kuchomoa kawaida
Ha ha ha ha ha ha ilikuaje Mkuu? Mimi ilishawahi kunitokea enzi zangu Mkuu, achana kabisa na haya mambo Mkuu.

Mtu anaweza akakusema saaana ila yakimkuta na yeye ndio ataelewa hasa ni kwa nini watu wameamua kufanya hivi.
 
Hapo nakushauri jiandae kwa kununua nepi, mabeseni, na pesa za kulea uzazi tu. No way. Kumbuka kale kanyimbo ka mkenya kanakosema huenda, akawa rais, huenda akawa dkt; anachomuomba mpenzi wake asitoe mimba yake
Huenda akawa mkuu wa mkoa wa dar
 
Hiyo inaitwa emergency contraception, Sasa kwa Siku ya tano manake ushavuka masaa 72, usitegemee chochote jipange tu kulea mimba!
Na sikushauri uitoe!
 
Kafungue Account kwa ajili ya maandalizi ya Uzazi .

Mnaweza mkapanga kutoa, mkaaribu kizazi na mkajuta milele..

Sishauri mfanye abortion.
 
Kwakweli Mimi si muumini wa kutoa mimba kama yakwako wewe mkuu ingenywewa dawa hizi tungechat nanani hapa JF?
 
Usijali....jipange cku chache zijazo anza clinic then mambo yote yatakua poa
 
Kumbe inamahusiano na ile kamati ya masaa 72 ya tff. Wapelekee na hili watakupa majibu
 
Watu wengine Mimi huwa natamani kuwatukana ila basi tu huwa nakuwa mzito sana wa kutoa matusi.

Hivi kama baba yako angekuwa na akili kama zako ungekuwa wapi wewe??
 
Nilijua huku watu wanajadili mambo ya msingi tena magumu sana kumbe JF kuna upupu hatari sana!

Hata kama ni bandiko linalohusu mapenzi au kuomba ushauri kuhusu mahusiano ya kimapenzi linakuwa ni lisredi la ukweli.

ila kwa mwendo badiko kama haya bora niachane na JF. Mtu unaleta ishu ambayo hata mtoto wa nursery anaweza itatua vizuri tu bila ugumu wowote.

So sad!
 
Kisayansi wenda hajapata mimba kuna mawili

mtu akiwa siku za hatari yaa siku ta 11- 17 hapo kati kama mlisex mara moja yaa trip moja mimba ipo na kama mlirudia miraundi mingi hakuna kitu.

Unajua kwa nn? Mara nyingi mbegu za kwanza zina uwezo wa kutengeneza mtoto ila unavyoendelea kuweka nyingine kunatokea mvurugano wa hizo mbege hence mimba inaweza isitunge.

Mfano ulishasikia mtu anasema "nilipata mimba ila nilifanya mara moja tu

2, watoto wanaobakwa mara nyingi unasa mimba coz ya kumwagiwa ndani mara moja

3. Mababa yaan wanaume wanaolala na mabeki tatu wanafanya kwa kuibia mkewe asiwakute so kimoja tu beki tatu anajazwa so inategemea wewe ulifanyaje??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…