Mimba imeingia majuzi, nifanyaje?

Mimba imeingia majuzi, nifanyaje?

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,533
Reaction score
3,837
Habari wakuu,

Kuna manzi niko kwa kipindi kirefu sana nae jumapili tulikuwa maeneo fulani hapa Tanga tunapiga mechi ya kikubwa, kabla hatujaanza aliniambia kabisa kuwa yupo siku za hatari hivyo nitumie kondom lakini nikakwambia asijali nitamwagia nje.


Utamu ulipokolea nikajikuta nimemwagia ndani sasa leo nikaenda dispensary kupata ushauri, wakaniambia kuna dawa inaitwa masaa 72. Hiyo dawa inatakiwa kutumika ndani ya siku tatu kutoka siku uliposex lakini kwa case yetu ni siku ya tano leo.

Naombeni ushauri wenu wakuu, nifanyaje mapema kabla mambo hayajawa magumu huko mbele.? Ni siku tano mpaka leo
 
Ushauri wangu ni kwamba ujiandae kulea,mama na,mtoto
 
Mpe Misoprostol kimoja chini ya ulimi kimoja ukeni alafu mtie ciprofloxacin 500mg 2×1 five days na Metronidazole 250mg 2×3 five days na antpain(PCM) 500mg mpe viwili kila baada ya masaa nane for five days.... Niamini mm icho kijusi akibaki. Nanawa mikoni zambi hii hainihusu.
Haikuhusu kivipi, wakati umeshiriki kutoa siraha na unajua kuwa unayempa ana kwenda kuua?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom