sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,127
- 48,311
AjeeeeeeeOiiiiiiiii!
AjeeeeeeeOiiiiiiiii!
Mpaka damu itoke....Unamaanisha nini kwa hako kausemi?
Sawa mkuu nimekuelewa.Mpaka damu itoke....
Kweli kabisaKiufupi absistence from sex till marriage ni muhimu Sana.
Asante kwa ufafanuzi.Kausemi kanakamilika hv: "Kusikia kwa kenge ni damu masikioni" kana wenzake mfano: "Asiyesikia la mkuu huvunjika guu" "Majuto ni mjukuu huja kinyume" nazo humaanisha usijitie kiburi na ukaidi unapopewa Onyo au pale unaposhauriwa. Kudharau na kupuuzia maoni yatolewayo kwa faida yako hatimaye likikuta, watu husema kusikia kwa kenge ni damu masikioni i.e. kenge mnyama (huiba sana mayai ya kuku)anahulka ya kutokimbia au anaigiza kufa kumbe ni usanii tu anapopewa kipondo na hatimaye inabidi kubondwa kichwa na watu wakasema ili kuthibitisha kama kweli amekufa ni hadi uone damu ikitoka masikioni ndo atakuwa kafa kweli kabisa.
Misemo hii huwalenga wale watu wasiokuwa wasikivu, watiifu, watu wenye dharau na kiburi.
😂"Hakunaga mimba ya bahati mbaya"
mwisho wa kunukuu
Mzingatiehaya sawa tunashukuru
Barikiwahaya sawa tunashukuru
tuko makini mkuu,ikiingia basi ujue hapo mwanamke alidhamiria kubebaMzingatie
Kambi ya fisi, nilikua nimeanza kukuelewa katika paragrafu ya kwanza japo nilikua na maswali machache, niliposoma paragrafu yako ya pili nikatafakari sana nikagundua kiwango chako cha ufahamu kina ukomo kwenye mambo ya Sayansi ya jamii na hivyo basi nimechagua kukuacha uendelee na mtizamo wako.Nimeongelea ngono kwa mahusiano ya wapenzi, mambo ya rushwa ya ngono ama ubakaji yote hayo ni matukio ktk ngono, neno bahati mbaya linatumika pia kama ajali kuna kupatwa na kupata. Hayo mambo sikuyagusia kwa sababu dunia ya sasa inadili na matatizo hayo kisheria hivyo kuna solution ikitokea mwanamke akafanyiwa hayo, lazima kujiuliza pia kwa nini aombwe rushwa ya ngono au kwa nini abakwe, hayo yanaweza kuwa maamuzi ya mke ikiwa hatajiindoa mapema ktk mtego wa kubakwa ama kutoa rushwa ya ngono.
Ikiwa umewahi kufuatilia wanyama jike huwa hatoi kwa kulazimishwa bali hutoa kwa hiari kwa kuwa anataka mimba na ni muda wake muafaka wa kupata mimba hivyo hujiachia kwa dume.
Ndivyo ilivyo na kwa binadamu
Kwa hiyo wewe una ufahamu usio na kikomo katika sayansi jamii?nikagundua kiwango chako cha ufahamu kina ukomo kwenye mambo ya Sayansi ya jamii